Watani wameuziwa mbuzi kwenye kiroba😂

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
856
Reaction score
1,662
Hivi jina la club yenu ni lipi!?, Young Africans ( Waafrika wadogo) au ni Yanga wale yange yange ndege 🤔.
Wichi izi wichi!?.

Kumbe swala la kuhama hama mara Rangi ya jezi, mara viwanja halijaanza Leo ni tangu enzi maana hata jina mlihama kutoka young Africans mpka Yanga.

Aliyesema uto wenye akili ni wawili hakukosea kbsaa, yaani mnabadilishiwa jina na mpo mnaona , hamuandamani!?.

Eti Wana Yanga au ndo ngeli iliwapiga Chenga mkaona isiwe tabu tuite Yan'g tu😂 Young ibakie kwenye karatasi.
 
Mimi ni Yanga lakini kiukweli nawaonea wivu sana Simba walichagua jina la KISHUJAA SANA. Simba hata ifungwe au ikose kombe lakini itabaki kuwa ni HEROES. Ndio maana mtu anasifiwa anapopambana na Simba.

NA NDIO MAANA WACHEZAJI NA MASHABIKI WA SIMBA WANAJIAMINI SANA MUDA WOTE TOFAUTI NA YANGA ambao huwa tunajishitukia kila mara
 
Chai umekunywa lakini?
 
Swadakta, kunywa Pepsi baridiiii
 
Mko sahihi siwapingi sunderland,kumbe sanda hamjaanza leo,msimu jana kuna timu imetumia viwanja vitatu na hamsemi humu ndani,taifa,jamhuri moro na chamazi
Sie tulibadilisha jina mazima, sasa nyie mpo huku na huku. Yanga mpo young mpo, tuwaeleweje!??
 
jamii forums mkiendelea kuruhusu mada za kitoto kama hizi kushamiri humu jukwaani, basi mtambue fika hamtakuwa tofauti na facebook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…