Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
- Thread starter
- #41
Hoja ni club yenu inaitwaje Yanga au young!?. Kwanini mnajiita Yanga na Sio young!?.we utakuwa ni shabiki maandazi hiyo simba imetokea young African au hujafatilia historia..?
unajua hata hilo jina young African lina maana gani..? halafu unajua young African ilishiriki kwa kiasi gani ktk kutetea uhuru wakati wa ukoloni..?
kuna watu mnafata mkumbo tu fatilieni historia ndo utakuja kuelewa kwanini hata huyo simba ni nyau kwa yanga!.
mweka mada nayeye kaweka hoja yakipuuzi hajui hata utashi wa lugha!