Watani wameuziwa mbuzi kwenye kiroba😂

Hoja ni club yenu inaitwaje Yanga au young!?. Kwanini mnajiita Yanga na Sio young!?.
 
Hata haileti maana kwamba Young tafsiri yake ni Yanga,inaonekana timu iliongozwa na wasio na elimu
 
Hata haileti maana kwamba Young tafsiri yake ni Yanga,inaonekana timu iliongozwa na wasio na elimu
Halafu hata hawaelewi kwanini iliitwa Yanga badala ya Young.
 
Rage ajengewe sanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…