Watani zangu 'Wakubwa' Kabila la 'Wahaya' mpo tayari na mmeshajiandaa 'Kisaikolojia' Kuchukiwa na Mkemia?

Ibilidi akiamua lake hashindiwi
 
Huyu jamaa hawezi kubadilika kamwe.
 
Hao wanafunzi waliokimbilia Lissu wamewaponza walimu wao. Wajiandae na vyeti vya kuzaliwa mababu zao.
 
Wenye Malori mjiandae na mtafute kazi zingine.

Barabarani mizigo mwisho Tani 15,

Mizigo mizito Zaidi ya Tani 15 lazima isafirishwe kwa reli.

Malori yatabaki kwenda MIKOA ya kusini ambako HAKUNA reli.
 
Na bado second half watakula msoto hadi wafanane na senene πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ndipo hapo wanapozidi kupotezwa kabisa na huo ugonjwa iko siku utafika kwa wajidhaniao ni wana wapendwa ndipo kilio na kusaga meno kitaposikika...
 
Bashiru na Polepole ndio waliokuwa wanamdanganya.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…