Akafie mbele hatuogopi sisi.Na bado second half watakula msoto hadi wafanane na senene 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akafie mbele hatuogopi sisi.Na bado second half watakula msoto hadi wafanane na senene 😂😂
Ibilidi akiamua lake hashindiwiLazima atakuwa amesha wamaindi. Kama tu tume ya uchaguzi inaweza kuamrishwa kutengeneza mapingamizi yasiyokuwa na kichwa wala miguu ili kuwawekea mizengwe na hata kuwaengua wapinzani kwa hila mbovu, basi jamaa hatashindwa kuiamuru NECTA iwadili wanafunzi hawa na wawekewe "marking scheme" yenye majibu ya hila ili tu apate kuwakomoa.
Unafikiri bifu la wahaya na serikali hii limeanza Leo?.Magufuli ataendelea kuwashikisha adabu
Huyu jamaa hawezi kubadilika kamwe.Kitu kimoja ambacho nina uhakika atabadilika kutokana na uchaguzi huu ni kwamba ataachana na zile ndoto zake za alinacha za kuua upinzani na hivyo hii itasaidia kuwekeza hela zetu katika mambo yenye tija badala ya kuahangaika na ununuzi wa wabunge na madiwani na chaguzi ndogo kila kukicha. Hizo pesa zinaweza kusaidia kuboresha mazingira ya kusomea ya watoto wa 'wanyonge' au kupatikana kwa maji safi (kama kule jimbo la Mtama ambako wanaokoteza maji maporini).
Mapigo bila vipigoNshomile wanajua kujibu mapigo!
😅
👊 ✌✌✌💥
Kanda ya ziwa ndio wanakojivunia. Mkuu nipe na ile clip Lissu anacheza One love huko katoroMkuu hapa ni Geita wamevunja Rekodi pia ,na kumbuka huu mkoa ndo anaotoka Jiwe.
Kiufupi Jiwe atachukia nchi nzima baada ya October atakapokua nyumbani anaugulia maumivu.
View attachment 1578536
Roho mbaya imemjaaa. Alitaka kuiga mambo ya Kagame akasahau hapa sio Rwanda tuna historia tofautiMagu yeye alifikiri anajenga kumbe anabomoa .
Kauli zake nyingi zimejaa utata,si kwa wananchi wa Kagera tu.
Kiongozi bora anafaa kuwaunganisha watu wake , siyo kuwagawa kwa lolote lile sababu tu ya itikadi zao.
Hao wanafunzi waliokimbilia Lissu wamewaponza walimu wao. Wajiandae na vyeti vya kuzaliwa mababu zao.Wanafunzi waacha vipindi na kuanza kuukimbilia msafara wa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu. Wanafunzi hao walianza kuimba "Tundu Lissu!.. Tundu Lissu!.." Leo Septemba 23, 2020 Msafara huo ulikatiza katika shule hiyo ukielekea Muleba Kusini.
Official Bavicha Taifa
Mbona 'mtamkoma' Mkemia Wetu kwa 'Visasi' vyake. Mnajifanya 'Kutuiga' Sisi 'Mashujaa' na 'Wagumu' wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Kazi mnayo!
... ni vizuri zaidi akapumzishwa tuu, yaani hakuna namna!Huyu jamaa hawezi kubadilika kamwe.
Kakusimanga vipi wakati wewe sio Mtanzania?Kwa kutendo chake cha kutusimanga na kutunyima faraja anastahili makubwa zaidi ya hilo.
Hoja sio kuogopa, hoja ni kuisoma namba😂😂Akafie mbele hatuogopi sisi.
Na ndipo hapo wanapozidi kupotezwa kabisa na huo ugonjwa iko siku utafika kwa wajidhaniao ni wana wapendwa ndipo kilio na kusaga meno kitaposikika...Na bado second half watakula msoto hadi wafanane na senene 😂😂
Bashiru na Polepole ndio waliokuwa wanamdanganya.Waliobuni mfumo wa demokrasia waliona mbali kwa checks and balance. Mzee baba hata akirejea atabadilika sana either kuwa moderate ama kufanya maamuzi magumu kuwa katili zaidi. Alijikuza na wapambe ccm kumtukuza mno akajaa upepo kwamba yeye ni nabii fulani, yanayotokea kwa Lissu kwake ni tumbo la kuhara.