kijenge juu
Member
- May 23, 2019
- 91
- 140
Mkuu,Walichokosea ni kupikia mwanamume wa Pwani wakijua ni wa kanda ya ziwa.
Uwe unasema siku nyingine ili wajue wanapikia mtu wa kula au kuharibu chakula.
Kwa hili wasukuma nawapa heko
Mwaka Jana nlienda mwanza maeneo Magu japo n Jirani na mwanza town eneo la kisesa
Wenyeji wangu waliniletea samak aina ya sangara Kama supu asubh Aseee ni bonge la samaki nilikula had nikabakisha nikajua ndio breakfast tayar ilipofka saa none nikaambiwa chai tayar nilikuta maziwa na viaz n vingi halafu peke
Kifup Hawa jamaa kwenye Msosi hawana mchezo wanajua kula lakn pia mgeni wanajua kumkaribisha
WASUKUMA KWA HILI MMETISHA
Kwanini umeuliza hivyo?Mkuu,
Hivi sikuizi umeajiriwa humu?
Ha ha haaa, kwa mgeni usukimani mchezo wa kuletewa ugali mwanzoni ukiutegua utapiga ubweche na nyama nyingi baade, ila ukiufakamia ugali, baadae tunda (wali) likija utatoa macho kwa mshangao tu.
Naona kila uzi unakaa siti ya piliKwanini umeuliza hivyo?
Nina masilahi mkuu siyo bure.Naona kila uzi unakaa siti ya pili
HahaaNina masilahi mkuu siyo bure.
Karibu.Hahaa
I can see
NakubaliNi kweli msukuma kwa kula hakuna kujivunga kazi nyingi za msukuma ni za kutumia nguvu mfano kuongoza tela ng'ombe, kuchunga mifugo,kulima ,kutembea umbali mrefu hayo uliona kidogo njoo kanda ya ziwa ualikwe kwenye kazi mfano kuvuna pamba utakula mbuzi sana mpaka utafurahi ndo maana msukuma ana nguvu siyo kama wa huko pwani wengi wanaogopa kazi ngumu
Asante kwa ukarimu wako mkuu.Karibu.
Akakikome kasanduka ho ngalumbona unesahau picha sasa! wenyeji na watani zetu wa kanda maalumu dar, moro, pwani, tanga, z'bar msituletee ubahiri wenu bhana. bise tulibegereja polapole! View attachment 1112411
nikiwa kama msemaji mkuu wa wasukuma nasema hivi sisi ndio kawaida yetu kama huyo rafiki yako alishindwa kukwambia ukweli basi ndio tulivyo... Halafu sisi hatuna kijiji bali popote kambi..
Pole sana mkuu hata mimi ilinitokea hii.