Watani zangu wasukuma hebu punguzeni matumizi ya vyakula, mnaharibu

Watani zangu wasukuma hebu punguzeni matumizi ya vyakula, mnaharibu

Mama twende Usukumani basi
emoji23.png
emoji23.png


Nipp usukumani hata sasa mwanangu na hiki ndo chakula nachokula usk wa leo
Mama twende Usukumani basi [emoji23][emoji23]
 
Wamama wakisukuma wanaongoza kwa kuivisha mapema yani ukisikia subiri dakika kumi tu mwanangu ujue ni hivyo kuna yale majiko yetu ya mafya ( mafiga) yakichochewa zile kuni za visiki vya mkonge aseee unaweza sema watu wanamajiko ya gesi ama umeme
 
Haya maisha ya kalikuleta hata wakati wa msosi ndio shida wewe umezoea 1/8 ya kilo ya nyama wali 1/4 mara nyingi hizi jamii za kuongea kiswahili saaana wanakula saa 11 jioni ndio chakula cha mchana na usiku , ulizoea kupiga ndefu a.k.a goli kwa goli
Kijana KULA UKUE ndio maana urefu ukanda wenu mrefu saana ft4 kama ulienda kuchukua mahari ya dada yako Sawa mbegu mmepata ila kama unaoa utaharibu ukoo. Anyway endelea
 
Kwakweli
Usipo kula sana usukumani jua umetembelea kafamilia kawavivu hapo unakuta wanandoa sio wasukuma wote yani baba anaweza kua msukuma afu mama mhaya mvivu kupika.
 
[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]
Haya maisha ya kalikuleta hata wakati wa msosi ndio shida wewe umezoea 1/8 ya kilo ya nyama wali 1/4 mara nyingi hizi jamii za kuongea kiswahili saaana wanakula saa 11 jioni ndio chakula cha mchana na usiku , ulizoea kupiga ndefu a.k.a goli kwa goli
Kijana KULA UKUE ndio maana urefu ukanda wenu mrefu saana ft4 kama ulienda kuchukua mahari ya dada yako Sawa mbegu mmepata ila kama unaoa utaharibu ukoo. Anyway endelea
 
Nataka mwezi wa 12 nimchukue rafiki angu nimpeleke nayeye kwetu
Sasa ungesogea kwa majirani zao wakurya hapo mara ndo ungezimia.. Ila uzuri wa kanda ya ziwa watu wanapiga kazi kweli kweli tofaut na hawa washindia burger na chips wa Dar.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante bwana laliga
Ni kawaida hiyo kwetu tuna vyakula vya kututosha , tukirudi makwetu na madigrii yetu tunachunga, tunakamua. Wewe unafikiri hiyo miili yetu mikubwa inakuja kwa kula half cake na fursana? Karibu tena mkuu
 
Saluti
Jamaa wako vizuri sana kwenye kukirimu wageni nakumbuka nilienda mkoa wa Tabora sehemu moja inaitwa URAMBO nilimtembelea rafiki yangu msukuma aisee nilipokelewa na ukarimu mkubwa kuliko hata ninavyopokelewa nikienda kwa bibi yangu mzaa Baba

Nakumbuka chakula tulichokuwa tunakula

Asubuhi - Tunakula Ugali wa Donna na mlenda / samaki wa kavu huku mnashushia na mtindi kisha tukimaliza ugali linaletwa Sinia limejaa viazi vitamu mnashushia na Maziwa Fresh yaliyotoka kukamuliwa mda huo huo

Mchana - Dona/ Ugali wa mtama mboga mlenda na nyama

Usiku nilipikiwa wali na kuku mzima nikaletewa Chungu kizima peke yangu aisee nilikula nyama ya kuku mpaka nikashiba huku nashushia Maziwa ya Mgando


Wasukuma nawapa big up 100% mnajua sana kukirimu wageni na kuwahudumia safi sana
 
Pande hizo ndiyo zingenifaa mimi,Tandika ubwabwa wenyewe,kunywa maziwa sijui uji wa muhogo na vikolombwezo vingine vyote alaf unamalizia na jagi la maji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani mnanifanya ncheke tu
Pande hizo ndiyo zingenifaa mimi,Tandika ubwabwa wenyewe,kunywa maziwa sijui uji wa muhogo na vikolombwezo vingine vyote alaf unamalizia na jagi la maji.
 
Mnajifanya wajuaji kumbe mnaharibu

Wakuu habari zenu leo nitaongelea hawa watani zangu wasukuma japo mimi ni mkazi wa morogoro, juzi juzi tulikua kijijini kwao na rafikiangu kwakweli tulipokelewa vizuri familia nzima ilikua na furaha ni familia yenye watu wengi tulionekana kua wageni kweli kweli niliona jogoo wawili wakubwa wamefungwa kamba

Badae rafikiangu alinitembeza kwenye mashamba yao hadi kwenye mbuga za mipunga jioni saa1 tulirudi nyumbani nikiwa nauchovu nikapewa maji ya kuoga saa2:30 msosi ulikua tayari na nilikua na njaa kinoma tulikua tumekaa pembeni kidogo na mwenzangu tukiwa tunachezea simu kupoteza mda alikuja dada mmoja akatukaribisha tukale,

Wasukuma wanadestuli ya kula kwa pamoja wanaume peke yao na wanawake nawao pia upande wao, upande wetu wanaume zilikuja sahani mbili za ugali kubwa na bakuli zilizo jaa nyama na maziwa mgando kwa pembeni, tukala navile mimi navoyapenda maziwa mgando nilikula sana, sasa mimi hapo mawazo yangu yalinituma nimalizie nyama niliokua nmeshikilia mkononi nitoshe

chakushangaza walikuja wadada watatu kutoka kule kwenye upande wa wanawake wakachukua vyombo vyote[emoji38][emoji38][emoji38] badae walikuja kiupya na sinia zilizo jaa nundu za ubwabwa(ubweche) na mabakuli makubwa yaliyojaa nyama za kutosha na soda moja moja kila mtu dah nilibaki naangalia tu maana mwanzo nlikua nmefukia vyakutosha rafikiangu akaniambia mbona umepoa tuendelee[emoji38][emoji38] niliutamani ubweche niligusagusa rakini sikua na namna, noma sana

Wasukuma nawapongeza mnamapokezi mazuri kwa wageni ila kwenye chakula hua mnaharibu maana najua chakula kilichobaki ni kingi mno isitoshe na asubuhi tulipikiwa chakula kingine nundu za ubweche.

=Exalioth

🤣🤣🤣 Umenkumbusha Dutwa moja hyo pande za Simiyu ni nouma, nilikaa siku tatu niliona kama mwaka yaan, tulikuwa na mnyamwez wangu mmoja hvi daaah ni hatar tupu hatutakuja sahau kamwe, asubuh unaletewa ugali mkubwa na dagaa hawana hata mafuta ni nyanya na chumvi tuu, yaan hapo wamekustah sana mana ni mgeni , msosi night sasa ni amsha, mnaanza kugonga ugali wa adabu alaf game ikiisha inakuja round ya wali, sisi mda huo tushashiba kitambo ila wenzetu wanagonga mpak punje ya mwisho...

Ikifika sa 10 usku wanaamshana kwenda kupiga jembe mpak ngoma 12 join ndo wanarejea..Hatar sana, wanawake wa kule hawana taabu kabisa yaan wao wanajifungulia hata njian, sio wa mjin kati ya wanawake 10 wanaojifungua wanane lazima wafanyiwe upasuaji..sababu ya ukaji wa chips
 
Back
Top Bottom