tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Hahaha we jamaa mswahili sana[emoji23] [emoji23]Ina maana maagizo ya mganga? Kwamba mwaka wa uchaguzi hakuna kutoka nje msije mkachakachua dozi yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha we jamaa mswahili sana[emoji23] [emoji23]Ina maana maagizo ya mganga? Kwamba mwaka wa uchaguzi hakuna kutoka nje msije mkachakachua dozi yake?
Rwanda alienda kwa gari. Mkulu anaogopa kupanda ndege.kwa karibu anaweza, Rwanda ndo anaipenda zaidi
Saivi tumeanza kuwapeleka shule kwa lazima maana tulikuja kugundua kwamba ukosefu wa elimu ndio unawafanya wanakua wehu, na wakileta ujinga wa kuvaa mabomu dawa yaohua ni kuozea jela tu mkuuHehehe!! Halafu mumeingiwa na nini, nimesoma tena Tanga huko kuna mwingine kachana hicho kitabu, hamuoni kunajinsi mnakorogwa, maana wavaa kobaz hawajawahi kuwa na ugomvi na nyie, lakini kwa hili la kuchana vitabu vyao wataanza kuwawaza, na ikumbukwe kwenu huko wamesaili maelfu ya vijana, mjitafakari sana kujua wapi linatibukia na nini kipo nyuma ya pazia.
Museveni says he was invited to attend Moi's funeral!
Burundi ni shit-hole. Wabaki tu huko.Naona hata wa Burundi (mwanachama wa EAC) naye kasusia, ila Burundi hupenda sana kuiga Tanzania, wanajikomba komba kwa Wabongo sana.
Lahaulaaa!Wazee wa zamani walikua na akili sana,hilo neno MAKUBAZI hebu lisome kuanzia mwisho kwenda mwanzo.
dodge
Yap aside kualikwa thing in Msiba hualikwi u come with ur own Intuition to bid farewell!He had good words for Moi.
Wacha hasira 3 executive Presidents in attendance not a small feat regardless the fact they were invited! Mind u not everyone rank Moi highly!Yap aside kualikwa thing in Msiba hualikwi u come with ur own Intuition to bid farewell!
Mng'ato umefikia nn?Wazee wa zamani walikua na akili sana,hilo neno MAKUBAZI hebu lisome kuanzia mwisho kwenda mwanzo.
dodge
Wazee wa zamani ndio wanasemaga hivyo mkuu.Mng'ato umefikia nn?
Nilikuambia dish lako limeyumba ukasema ni matusi, ona sasa unajinukuu na kupinga maoni yako kwenye comment ulioiandika wewe mwenyewe. [emoji1]Wacha hasira 3 executive Presidents in attendance not a small feat regardless the fact they were invited! Mind u not everyone rank Moi highly!
Wish to know if ur big dad America sent a secretary! I am pretty sure Uhuru must have conveyed news of Moi demise in person when he met Trump at White House.
Kwani akija ndy atamka tenaIna maana maagizo ya mganga? Kwamba mwaka wa uchaguzi hakuna kutoka nje msije mkachakachua dozi yake?
Kumbe na wewe ni mshenzi!!Wazee wa zamani walikua na akili sana,hilo neno MAKUBAZI hebu lisome kuanzia mwisho kwenda mwanzo.
dodge