Watani zetu Tanzania hata kwa msiba mnabana matumizi, hamjaja tumuage Moi

Yule ndo kijana wetu mkubwa ukimgusa tunakubomoa

Tulimrudisha madarakan na bado tunamlinda

Sent using Jamii Forums mobile app

Mumesababisha mateso na umaskini kwa Warundi na ndio maana wakimbizi wao wanaingia kwenu kwa malaki, sijui kwanini kila mnapogusa lazima panuke, kule Uganda mlipeleka hicho kiherehere na kusababisha Museveni amewakalia Waganda miaka yote hii hadi wanajutia sana.
 
Wanajutia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako hata huyo mume wenu kagame tumemuweka sisi,hulka tu ya kitutsi iko kama ya kimungiki kwa kukosa shukran hadi hii leo eti anamdindia museveni!

who represented SA? and who represented the US?

Here are the Executive Presidents of Independent African States that attended Moi's last saluteat Nyayo stadium, Nairobi:
1. Uganda's president Yoweri Museveni
2. Rwanda's president Paul Kagame
3. Djibouti's president Ismail Omar Guelleh
4. South Sudan's Salva Kiir
 
Kwa taarifa yako hata huyo mume wenu kagame tumemuweka sisi,hulka tu ya kitutsi iko kama ya kimungiki kwa kukosa shukran hadi hii leo eti anamdindia museveni!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mbona kipindi fulani aliwatoa kamasi sana, kuna wakati mlikua mnalialia kumhusu Kagame, hadi akasema atamhit mkulu weu. Nilikua nawaona wa ovyoo sana, yaani kainchi saizi ya mkoa kawalilisha nchi yote makelele.
 
Back
Top Bottom