Yule ndo kijana wetu mkubwa ukimgusa tunakubomoaNaona hata wa Burundi (mwanachama wa EAC) naye kasusia, ila Burundi hupenda sana kuiga Tanzania, wanajikomba komba kwa Wabongo sana.
Yule ndo kijana wetu mkubwa ukimgusa tunakubomoa
Tulimrudisha madarakan na bado tunamlinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajutia nini?Mumesababisha mateso na umaskini kwa Warundi na ndio maana wakimbizi wao wanaingia kwenu kwa malaki, sijui kwanini kila mnapogusa lazima panuke, kule Uganda mlipeleka hicho kiherehere na kusababisha Museveni amewakalia Waganda miaka yote hii hadi wanajutia sana.
Mumesababisha mateso na umaskini kwa Warundi na ndio maana wakimbizi wao wanaingia kwenu kwa malaki, sijui kwanini kila mnapogusa lazima panuke, kule Uganda mlipeleka hicho kiherehere na kusababisha Museveni amewakalia Waganda miaka yote hii hadi wanajutia sana.
Uwongo kivipi, nimesoma kwenye list ya marais ambao wamefika sijaona wa kwenu, poa kama mtatuma hata hao waliostaafu maana mwenda zake naye alikua mstaafu.
Kwa taarifa yako hata huyo mume wenu kagame tumemuweka sisi,hulka tu ya kitutsi iko kama ya kimungiki kwa kukosa shukran hadi hii leo eti anamdindia museveni!
Sent using Jamii Forums mobile app