Watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa kwenye ajali ya Shabiby na Lori mkoani Iringa

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Watu watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Shabiby aina ya Youtong likiendeshwa na Michael Mbugi likitokea Dodoma kwenda Mbeya na kupata ajali katika eneo la Tanangozi, Kata ya Mseke mkoani Iringa, alfajiri ya leo Mei 8, 2026 baada ya kugongana na lori la vinywaji aina ya FAW.

Akithibitisha taarifa hiyo, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa, Dk Alfred Mwakalebela amesema hospitali hiyo imepokea majeruhi 28 waliotokana na ajali hiyo pamoja na miili ya watu watano waliofariki dunia.

Dk Mwakalebela amesema kati ya majeruhi hao, wanaume ni 16 wakiwemo watoto wanne, huku wanawake wakiwa 12.

More to follow!

View: https://www.facebook.com/share/v/1BxQujZdXX/
 
Pole kwao kwa kweli inasikitisha sana
 
Kapicha kidogo basi
 
Watu watano wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Shabiby kugongana na lori katika kijiji cha Tanangozi mkoani Iringa. Kati ya majeruhi hao, watu watano wapo katika hali mahututi na wanaendelea kupatiwa matibabu.

Akizungumza kuhusu hali ya majeruhi hao, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa Region, Dkt. Alfred Mwakalebela, amesema baadhi ya majeruhi wamepatiwa huduma za dharura huku wengine wakiendelea kufuatiliwa na madaktari.
Video:

View: https://www.facebook.com/share/v/1BxQujZdXX/
 
Watu watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Shabiby aina ya Youtong likiendeshwa na Michael Mbugi likitokea Dodoma kwenda Mbeya na kupata ajali katika eneo la Tanangozi, Kata ya Mseke mkoani Iringa, alfajiri ya leo Mei 8, 2026 baada ya kugongana na lori la vinywaji aina ya FAW.

Akithibitisha taarifa hiyo, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa, Dk Alfred Mwakalebela amesema hospitali hiyo imepokea majeruhi 28 waliotokana na ajali hiyo pamoja na miili ya watu watano waliofariki dunia.

Dk Mwakalebela amesema kati ya majeruhi hao, wanaume ni 16 wakiwemo watoto wanne, huku wanawake wakiwa 12.

More to follow!
Naogopa sana kupanda mabasi ya wanaccm
 
Aisee pole sana kwa wahanga wa ajali hizi, Mwenyezi Mungu awatie nguvu, marehemu awape pumziko jema.

Ila hili suala la route za usiku wangelitazama tena kwa mara nyingine, hasa ukizingatia barabara nyingi hazina ubora wa kiwango cha juu.
 
We are grieving we unaleta utoko wako hapa jamvini? Wakati mwingine usijifanye mwerevu sana watu wamepoteza maisha watu wamejeruhiwa we unakejeli?
Mbona wewe ulikuwa unakejeli humu waliouliwa October 29? Wewe ni mnafiki funga hilo domo lako usijifanye hapa unajali.

KAYNGAY
 
Back
Top Bottom