Watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa kwenye ajali ya Shabiby na Lori mkoani Iringa

Watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa kwenye ajali ya Shabiby na Lori mkoani Iringa

We are grieving we unaleta utoko wako hapa jamvini? Wakati mwingine usijifanye mwerevu sana watu wamepoteza maisha watu wamejeruhiwa we unakejeli?
uhai wa mwema na muhalifu una thamani sawa, acha mtu mwingine amkemee ila sio wewe mnafiki..
 
Marehemu mpate pumziko la milele, majeruhi Mwenyezi Mungu awape ahueni wapone na kuendelea na majukumu ya kifamilia.
 
Back
Top Bottom