Pole kwao kwa kweli inasikitisha sanaWatu watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Shabiby aina ya Youtong likiendeshwa na Michael Mbugi likitokea Dodoma kwenda Mbeya na kupata ajali katika eneo la Tanangozi, Kata ya Mseke mkoani Iringa, alfajiri ya leo Mei 8, 2026 baada ya kugongana na lori la vinywaji aina ya FAW.
Akithibitisha taarifa hiyo, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa, Dk Alfred Mwakalebela amesema hospitali hiyo imepokea majeruhi 28 waliotokana na ajali hiyo pamoja na miili ya watu watano waliofariki dunia.
Dk Mwakalebela amesema kati ya majeruhi hao, wanaume ni 16 wakiwemo watoto wanne, huku wanawake wakiwa 12.
More to follow!
Kapicha kidogo basiWatu watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Shabiby aina ya Youtong likiendeshwa na Michael Mbugi likitokea Dodoma kwenda Mbeya na kupata ajali katika eneo la Tanangozi, Kata ya Mseke mkoani Iringa, alfajiri ya leo Mei 8, 2026 baada ya kugongana na lori la vinywaji aina ya FAW.
Akithibitisha taarifa hiyo, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa, Dk Alfred Mwakalebela amesema hospitali hiyo imepokea majeruhi 28 waliotokana na ajali hiyo pamoja na miili ya watu watano waliofariki dunia.
Dk Mwakalebela amesema kati ya majeruhi hao, wanaume ni 16 wakiwemo watoto wanne, huku wanawake wakiwa 12.
More to follow!
Sio nzuriKapicha kidogo basi
Naogopa sana kupanda mabasi ya wanaccmWatu watano wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Shabiby aina ya Youtong likiendeshwa na Michael Mbugi likitokea Dodoma kwenda Mbeya na kupata ajali katika eneo la Tanangozi, Kata ya Mseke mkoani Iringa, alfajiri ya leo Mei 8, 2026 baada ya kugongana na lori la vinywaji aina ya FAW.
Akithibitisha taarifa hiyo, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa, Dk Alfred Mwakalebela amesema hospitali hiyo imepokea majeruhi 28 waliotokana na ajali hiyo pamoja na miili ya watu watano waliofariki dunia.
Dk Mwakalebela amesema kati ya majeruhi hao, wanaume ni 16 wakiwemo watoto wanne, huku wanawake wakiwa 12.
More to follow!
Davoo ndio nini? Ama unamaanisha dereva?Sio nzuri
Roli iko kichwa chini miguu juu, shabiby mbele haitazamiki. Sijui kama davoo amepona
Kwahio tushangilie bus lake kupata ajali?Mwenye mabasi hayo ni Mbunge wa ccm
Wewe mzee una utapiamlo wa akili. Acha kuleta siasa kwenye sehemu zisizohitaji siasa.Naogopa sana kupanda mabasi ya wanaccm
Huyo jamaa ni Mzee mpumbavu sana wa CHADEMA.Kwahio tushangilie bus lake kupata ajali?
Mbona wewe ulikuwa unakejeli humu waliouliwa October 29? Wewe ni mnafiki funga hilo domo lako usijifanye hapa unajali.We are grieving we unaleta utoko wako hapa jamvini? Wakati mwingine usijifanye mwerevu sana watu wamepoteza maisha watu wamejeruhiwa we unakejeli?
Mabasi mengine yana laanaWe are grieving we unaleta utoko wako hapa jamvini? Wakati mwingine usijifanye mwerevu sana watu wamepoteza maisha watu wamejeruhiwa we unakejeli?