Bikra unayo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2026
- 638
- 2,312
uhai wa mwema na muhalifu una thamani sawa, acha mtu mwingine amkemee ila sio wewe mnafiki..We are grieving we unaleta utoko wako hapa jamvini? Wakati mwingine usijifanye mwerevu sana watu wamepoteza maisha watu wamejeruhiwa we unakejeli?
Hawa wajinga wanadhani tumesahauMbona wewe ulikuwa unakejeli humu waliouliwa October 29? Wewe ni mnafiki funga hilo domo lako usijifanye hapa unajali.
KAYNGAY
Ila Octoba 29 ilihitaji SIASA za KMKM kuuwa Watanganyika!Wewe mzee una utapiamlo wa akili. Acha kuleta siasa kwenye sehemu zisizohitaji siasa.
Hiyari ni yakoKwahio tushangilie bus lake kupata ajali?
Mzee umeshachanganyikiwa. Bora hata kipindi ulivyokuwa housegirl wa Mbowe ulikuwa na akili kidogo.Ila Octoba 29 ilihitaji SIASA za KMKM kuuwa Watanganyika!