Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1658837050742.png

Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wakitaka vikosi vya kulinda amani viondoke nchini humo huku kukiwa na hali ya ukosefu wa usalama katika eneo hilo

Aidha wanadaiwa kuvunja madirisha na kupora kompyuta, samani na vitu vingine vya thamani kutoka makao makuu ya Vikosi hivyo
---

At least five people have been killed and fifty others wounded on the second day of anti-United Nations protests in the eastern Democratic Republic of the Congo city of Goma, according to the government.

“We will come back during the day with [a special briefing] on the human and material toll as well as the consequences to be drawn. We will also take stock of the process of withdrawing the @MONUSCO that has already begun,” tweeted government spokesman Patrick Muyaya, on Tuesday.

Earlier, Reuters reported that at least two demonstrators have been shot dead by UN peacekeepers, according to a Reuters witness.

An AFP journalist also reported seeing one UN soldier shoot a protester dead. Demonstrations against the perceived ineffectiveness of the UN peacekeeping operation MONUSCO against armed groups in the country, erupted on Monday. Hundreds of people blocked roads and chanted anti-UN slogans on Monday before breaking into the headquarters of the UN peacekeeping mission in Goma, an important commercial hub of North Kivu province.

The UN peacekeeping mission in the DRC, known as MONUSCO, has come under regular local criticism for its perceived inability to stop fighting in the conflict-torn east.

The protesters smashed windows and looted computers, furniture and other valuables from the headquarters, an AFP journalist witnessed, while UN police officers fired tear gas in a bid to push them back.

Helicopters airlifted some UN officials from the overrun headquarters.

Protesters also stormed a UN logistical base on the outskirts of the city, where a student was shot in the leg

SOURCE: ALJAZEERA
 
Hivyo vikosi viko kijambazi havina faida yeyote kule goma

MONUSCO ina vikosi toka nchi mbalimbali ikiwemo nchi yetu MONUSCO

Baraza la Usalama la UN/Umoja wa maitafa kupitia azimio namba SC / 148555 APRIL 2022 lilikemea hali hii ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa chini ya mwamvuli wa MONUSCO huko Goma kubugudhiwa Security Council Press Statement on Attack against United Nations Organization Stabilization Mission in Democratic Republic of Congo | UN Press
 
MONUSCO ina vikosi toka nchi mbalimbali ikiwemo nchi yetu.

Baraza la Usalama la UN / Umoja wa maitafa kupitia azimio namba SC/148555 APRIL 2022
lilikemea hali hii ya walinda amani Goma kubugudhiwa Security Council Press Statement on Attack against United Nations Organization Stabilization Mission in Democratic Republic of Congo | UN Press
Wezi tu hao

Wawaache wa congo wenyewe na nchi Yao

Wa congo wenyewe wameshtuka kuwa jamaa ni majambazi hawataki tena kuibiwa na wao Kwa kigezo Cha kujifanya ni walinda Amani

Kama ni suala la kujilinda wata jilinda wao wenyewe
 
27 July 2022
Mavivi, DR Congo

Habari za UN : Walinda Amani wa UN kutoka Tanzania walenga kuhamishisha amani DR Congo kupitia KiSwahili

Kutoka Tanzania, TANZBATT-9, kinachohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO kimeanza kusambaza daftari na vifaa vingine vya shule kwa watoto katika maeneo ya Mavivi huko Beni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa lengo la kuwahimiza wanafunzi hao kuzungumza lugha ya Kiswahili ili wakimaliza shule waweze kuwasiliana na mataifa mengine. Hii imekuja wiki chache tu baada ya kusherehekewa kwa Siku ya Kiswahili Duniani ambayo iliadhimishwa tarehe 7 mwezi huu Julai 2022. Mwandishi wetu wa DRC Byobe Malenga ametuandalia makala ifuatayo.
Source : Mashariki TV
 
Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wakitaka vikosi vya kulinda amani viondoke nchini humo huku kukiwa na hali ya ukosefu wa usalama katika eneo hilo

Aidha wanadaiwa kuvunja madirisha na kupora kompyuta, samani na vitu vingine vya thamani kutoka makao makuu ya Vikosi hivyo
---

At least five people have been killed and fifty others wounded on the second day of anti-United Nations protests in the eastern Democratic Republic of the Congo city of Goma, according to the government.

“We will come back during the day with [a special briefing] on the human and material toll as well as the consequences to be drawn. We will also take stock of the process of withdrawing the @MONUSCO that has already begun,” tweeted government spokesman Patrick Muyaya, on Tuesday.

Earlier, Reuters reported that at least two demonstrators have been shot dead by UN peacekeepers, according to a Reuters witness.

An AFP journalist also reported seeing one UN soldier shoot a protester dead. Demonstrations against the perceived ineffectiveness of the UN peacekeeping operation MONUSCO against armed groups in the country, erupted on Monday. Hundreds of people blocked roads and chanted anti-UN slogans on Monday before breaking into the headquarters of the UN peacekeeping mission in Goma, an important commercial hub of North Kivu province.

The UN peacekeeping mission in the DRC, known as MONUSCO, has come under regular local criticism for its perceived inability to stop fighting in the conflict-torn east.

The protesters smashed windows and looted computers, furniture and other valuables from the headquarters, an AFP journalist witnessed, while UN police officers fired tear gas in a bid to push them back.

Helicopters airlifted some UN officials from the overrun headquarters.

Protesters also stormed a UN logistical base on the outskirts of the city, where a student was shot in the leg

SOURCE: ALJAZEERA
Sijui lini Congo itabaki salama 🔨
 
Sijui lini Congo itabaki salama 🔨🔨
 
Wiki 2 zimepita tokA MONUSCO watangaze Kwamba hawawezi kupigana na m23 coz wanna silaha nzito na za kisasa Kama zimilikiwazo na nchi . Hivyo hawana uwezo wake kupigana nao..
Nikajiuliza MONUSCO wapo Kongo kufanya Nini? Kama hata m23 wanaiogopa?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hizo silaha hao M23 wamezipata wapi?, Kama sio nchi jirani ipo nyuma yao.
 
Back
Top Bottom