Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Leta info zake,lazima wakipate na waoNi kwel anaroho mbaya ni katili sawa hata maandiko yameandika ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga..sasa yaani baada ya kufaham ivyo vyooooote hoja ni ipi?
Nini unataka kifanyike kaka mkubwa?
Akitetea udhalimu acha akipateNi wakili wa serikali anahaki ya kutetea udhalimu wa serikali.
Maisha hayawezi kulingana. Katika bibilia Mungu aliufanya moyo wa farao kuwa Mugumu ili amuadhibu kwa maumivu mkali.
Historia ya vizazi na vizazi bado tuna msoma farao.
Na wewe nenda ukae death row tutofautiane na mimi nilie US.Ili iweje?
Kibatala alitetea mauaji ya Msuya hukuita watanzania.
JF imejaa watu wenye IQ ndogo saana. ....kwa ukubwa wako unashindwa kuelewa kutofautiana ni jambo la kawaida katika siasa.
Let's embrace our differences mazee.
Ng'ombeJiandae kesho nikupeleke kwenye kazi ya zege mjomba day 15k unarudi home familia wanakula kidali safi siku inapita
SoNi wakili wa serikali anahaki ya kutetea udhalimu wa serikali.
Maisha hayawezi kulingana. Katika bibilia Mungu aliufanya moyo wa farao kuwa Mugumu ili amuadhibu kwa maumivu mkali.
Historia ya vizazi na vizazi bado tuna msoma farao.
Umejikaza kabisa ety leta info zake,,.. mtot wa kiume kbc wewe unataka info za mwanaume mwenzio alafu??Ng'ombe
Mkitofautiana katika siasa basi kwa kuwa wewe una dola ndio unawatesa uliotofautiana nao kwa kuwaweka ndani? Ndio kawaida hiyo unayoisema?Ili iweje?
Kibatala alitetea mauaji ya Msuya hukuita watanzania.
JF imejaa watu wenye IQ ndogo saana. ....kwa ukubwa wako unashindwa kuelewa kutofautiana ni jambo la kawaida katika siasa.
Let's embrace our differences mazee.
Watu wanalala death row yupo ng'ombe anabwabwajaMkotofautiana katika siasa basi kwa kuwa wewe una dola ndio unawatesa uliotofautiana nao kwa kuwaweka ndani? Ndio kawaida hiyo unayoisema?
I am living in AmericaUmejikaza kabisa ety leta info zake,,.. mtot wa kiume kbc wewe unataka info za mwanaume mwenzio alafu??
Lala mapema kesho nikupeleke kwenye zege ukauchoshe uo mwili
Ili iweje?
Kibatala alitetea mauaji ya Msuya hukuita watanzania.
JF imejaa watu wenye IQ ndogo saana. ....kwa ukubwa wako unashindwa kuelewa kutofautiana ni jambo la kawaida katika siasa.
Let's embrace our differences mazee.
Ogopa sana watu waliopitia kwenye changamoto za maisha alafu akaja kuwa juu, mwonekano tu wa sura amepitia changamoto za kimaisha huko alikotoka nyuma, asema Bwana.Kenya hawakupata strong reforms kirahisi walipambana aswaaa na washenzi wanaotumika na kubinya haki.
Kenya wabunge waliosapoti financial bill ya Ruto walikiona cha moto, walikuwa targeted individually.
Huyu wakili Katuga anatumika kukandamiza haki, ukiona anavyojibu Kwa majivuno hoja zenye mashiko unaona kabisa ni mtu mwenye roho mbaya.
Sasa lazima tumjue zaidi
Najua makatili mtatoa milio kwenye hii post
Jf ni kubwa Lete info za huyu Wakili. Ifike hatua ukipangiwa kusimamia uongo ukimbie mwenyewe.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
View attachment 3390659
Wewe nawe pia IQ yako ina matatizo! Kibatala aliyatetea wapi hayo mauaji ya huyo Msuya?Ili iweje?
Kibatala alitetea mauaji ya Msuya hukuita watanzania.
JF imejaa watu wenye IQ ndogo saana. ....kwa ukubwa wako unashindwa kuelewa kutofautiana ni jambo la kawaida katika siasa.
Let's embrace our differences mazee.
CCM wanawadharau watanzania Kwa kuwa hakuna retaliation,,hivi uonewe mke au mtoto afyekwe utarudia ujingaOgopa sana watu waliopitia kwenye changamoto za maisha alafu akaja kuwa juu, mwonekano tu wa sura amepitia changamoto za kimaisha huko alikotoka nyuma, asema Bwana.
Yupo mmoja alishawambia watz kuhamia Burundi ila ukiangalia nyuma alipo toka utashangaa, Mungu wangu anasema atashughulika nao sawasawa msihofu ,Mungu yupo kazini