Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Hakika.You kill them; then you turn around and tell the rest of them, "let's embrace our differences"!
You must be nuts.
Hakika.You kill them; then you turn around and tell the rest of them, "let's embrace our differences"!
You must be nuts.
Unatumia fasihi Hadi sikuslewiMbona tayari tumo kwenye upepo halisi wa mageuzi. Wewe unashauri tuweke turubai kuuzuia huu upepo kuvuma na kuzoa takataka!
Inaingia akilini hii?
Hakuna kucheka na nyaniHakika.
Mwaga Mkuu!Tushapata data zake
Eeh apate tambiko si kwa upuuzi huu!Hapa mkuu tunataka kutambika sasa
Najua toka mwanzo hukunielewa nilicholenga.Unatumia fasihi Hadi sikuslewi
Let seeNajua toka mwanzo hukunielewa nilicholenga.
Ni hivi: ukiwaa fursa (akina Samia na GENGE), na kufanya kama unavyo shauri wewe; unawapa wigo wa kuendelea kuwepo kwa kutumia nguvu. Unawapa 'justification' ya kufanya maovu zaidi dhidi ya waTanzania.
"NO REFORM, NO ELECTION" sasa imo ndani ya waTanzania, inaendelea kueleweka na kuwapa ujasiri, hata wale wenzetu ambao huwa ni vigumu kuwatikisa waondoke kwenye ndoto. Hata huko ndani ya CCM halizi (achana na hili kasha wanaloshikilia akina Samia na kuwatishia nalo watu); hiyo Kampeni imewaingia mioyoni.
Twende na hii hii; na hasa CHADEMA watakapo anza tena kuchochea moto, utaona vizuri zaidi tunakoelekea kama taifa.
Dalili umekwisha ziona mwenyewe, ni juzi tu ulikuwa humu ukitueleza maana ya BUNGE Kuvunjwa/kuahirishwa. Sasa inakuwaje usione ishara wazi kama hizo ni wapi tunakoelekea?
Ukianzisha vurugu tu sasa hivi, Samia na GENGE wanahesabu ushindi!
Wape nafasi waTanzania wajipange vizuri kupitia kwa NO REFORM, NO ELECTION. Hawa wakiwa tayari,; KAZI KWISHA!
Atakuwa wa visiwaniEeh apate tambiko si kwa upuuzi huu!
No Reform No Election Aidah Kenan keshaonyesha njia hata Majaliwa ameonyesha njia leo.Nyie mliopo kwenye nchi za watu ndy mnatusumbua akili mnajifanya tupo pamoja mnatudanganya tunakamatwa tunapigwa viboko,tunauwawa then mnakuja tena mtandaoni mnaanza kusema justice kwaajili ya fulani..kama mwanaharakat njoo upambane uku kaa mbele kbc hapo mm nitakuwa nyuma yako na bango la NO UNIFORM NO EDUCATION..
Uwakili ni kazi tu, uwe uwakili wa serikali au binafsi, ni hoja tu ndiyo zinazoshindaniwa, kwanini utake kumdhuru wakili ili hali anafanya kazi ili watoto wake wale
Tumia akili, kama unazo, kama hauna embu ata azima za jirani yako
Yaani Uchaguzi umepoa aswaaa, utadhani sio election year,,nchi yetu inelekea kubayaNo Reform No Election Aidah Kenan keshaonyesha njia hata Majaliwa ameonyesha njia leo.
Bora umelijibu ilo li ng'ombeKwani Lissu hana watoto wanaokula....!!?
Hawa watu wamechafua kwelikweli; utadhani wamepata koloni la kutawala na kufanyia kila upuuzi wanaoutaka..Atakuwa wa visiwani
Kabisa wanampambania mtu wao, si umemuona Salum Mwalimu, na yule alifungua kesi ya mgawanyo wa mali za cdmHawa watu wamechafua kwelikweli; utadhani wamepata koloni la kutawala na kufanyia kila upuuzi wanaoutaka..
Mimi naweza kuweka dau hata la milioni moja kwamba pakiweo na uchaguzi (hata wa haki); Samia atapata kura zote za huko kwao, kwa sababu ya uzanzibari wake tu!
Hawa siyo waTanzania.
Katika viongozi walio uvuruga kabisa muungano huu, Samia Suluhu Hassan atachukua namba moja kabisa. Huyu hakujenga chochote katika kuimarisha muungano; kila alicho fanya ni kuuvuruga.Kabisa wanampambania mtu wao, si umemuona Salum Mwalimu, na yule alifungua kesi ya mgawanyo wa mali za cdm