Watanzani tumjue huyu wakili anayetetea uzalimu Wakili Katuga

Watanzani tumjue huyu wakili anayetetea uzalimu Wakili Katuga

Ndo aiac

Ndo aiache uyo ni ku deal na familia yake na yeye mwenyewe watanzania msipokuwa na retaliation kitawalamba
Ukianza kufanya hayo unawapa hewa ya oxygen ya kuchelewesha mageuzi haya yaliyo njiani sasa hivi.
Hivi tunavyo kwenda sasa hivi ni pazuri zaidi ya huko unakotaka tuelekee.
 
Kenya hawakupata strong reforms kirahisi walipambana aswaaa na washenzi wanaotumika na kubinya haki.

Kenya wabunge waliosapoti financial bill ya Ruto walikiona cha moto, walikuwa targeted individually.

Huyu wakili Katuga anatumika kukandamiza haki, ukiona anavyojibu Kwa majivuno hoja zenye mashiko unaona kabisa ni mtu mwenye roho mbaya.

Sasa lazima tumjue zaidi

Najua makatili mtatoa milio kwenye hii post

Jf ni kubwa Lete info za huyu Wakili. Ifike hatua ukipangiwa kusimamia uongo ukimbie mwenyewe.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
View attachment 3390659

Hata mimi nilikuwa najiuliza, huyu jamaa ni nani...!!?

Halafu kwa mbali kama vile ana karafudhi ka Zanzibar....!!
 
Ukianza kufanya hayo unawapa hewa ya oxygen ya kuchelewesha mageuzi haya yaliyo njiani sasa hivi.
Hivi tunavyo kwenda sasa hivi ni pazuri zaidi ya huko unakotaka tuelekee.
Mkuu mageuzi yapi imagine kesi ya Lissu haiishi Leo, Chadema washafungiwa kishiriki uchaguzi, Sasa mageuzi yapi au katiba mpya tulioambiwa utakuja awamu ya pili
 
Uwakili ni kazi tu, uwe uwakili wa serikali au binafsi, ni hoja tu ndiyo zinazoshindaniwa, kwanini utake kumdhuru wakili ili hali anafanya kazi ili watoto wake wale

Tumia akili, kama unazo, kama hauna embu ata azima za jirani yako
 
Atetee watoto wake mkono uende kinywani na anaowaumiza na kuwafanya wakae death row, Hawana watoto Rubbish
 
Kenya hawakupata strong reforms kirahisi walipambana aswaaa na washenzi wanaotumika na kubinya haki.

Kenya wabunge waliosapoti financial bill ya Ruto walikiona cha moto, walikuwa targeted individually.

Huyu wakili Katuga anatumika kukandamiza haki, ukiona anavyojibu Kwa majivuno hoja zenye mashiko unaona kabisa ni mtu mwenye roho mbaya.

Sasa lazima tumjue zaidi

Najua makatili mtatoa milio kwenye hii post

Jf ni kubwa Lete info za huyu Wakili. Ifike hatua ukipangiwa kusimamia uongo ukimbie mwenyewe.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
View attachment 3390659
Ulitaka afanyeje wakati hiyo ni kazi yake? Yeye siye aliyetuhumu, siye aliyekamata yeye anamuwakilisha muajiri wake
 
Ni wakili wa serikali anahaki ya kutetea udhalimu wa serikali.

Maisha hayawezi kulingana. Katika bibilia Mungu aliufanya moyo wa farao kuwa Mugumu ili amuadhibu kwa maumivu mkali.

Historia ya vizazi na vizazi bado tuna msoma farao.
Hata angekuwa siyo wakili wa Serikali kazi ya uwakili ni moja tu kumsaidia hakimu ili aweze kutoa maamuzi ya kisheria .Kwahiyo yeye wakili huwa hanakosa Lolote.Yeye kazi yake ni kusaidia mteja wake maswala ya kisheria bila kujali huyo mtu ni nani.
 
Nyie mliopo kwenye nchi za watu ndy mnatusumbua akili mnajifanya tupo pamoja mnatudanganya tunakamatwa tunapigwa viboko,tunauwawa then mnakuja tena mtandaoni mnaanza kusema justice kwaajili ya fulani..kama mwanaharakat njoo upambane uku kaa mbele kbc hapo mm nitakuwa nyuma yako na bango la NO UNIFORM NO EDUCATION..
 
Atetee watoto wake mkono uende kinywani na anaowaumiza na kuwafanya wakae death row, Hawana watoto Rubbish
Anashitakiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Republic Vs TAL

Huyo dogo anahusikaje?

Embu jifunzeni mpate elimu jinsi mambo yanavyoenda, umejaa ujinga mwingi sana
 
Back
Top Bottom