Watanzani tumjue huyu wakili anayetetea uzalimu Wakili Katuga

Anashitakiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Republic Vs TAL

Huyo dogo anahusikaje?

Embu jifunzeni mpate elimu jinsi mambo yanavyoenda, umejaa ujinga mwingi sana
Jamuhuli inatenda dhuruma kupitia Kwa katuga na Mwakitalu lazima watu wadeal nao
 
Anashitakiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Republic Vs TAL

Huyo dogo anahusikaje?

Embu jifunzeni mpate elimu jinsi mambo yanavyoenda, umejaa ujinga mwingi sana
Yaani serikali ikutume ubake,uteke, uue ,ufire afu watu wakiku target uanze kulalamika
 
Ngombe wa mama
 
Ulitaka afanyeje wakati hiyo ni kazi yake? Yeye siye aliyetuhumu, siye aliyekamata yeye anamuwakilisha muajiri wake
Boss wako akikutuma uteke, ua ,fira ,tesa,rekodi watu video za ngono afu watu wakideal na wewe utasema unaonewa
 
Mkuu mageuzi yapi imagine kesi ya Lissu haiishi Leo, Chadema washafungiwa kishiriki uchaguzi, Sasa mageuzi yapi au katiba mpya tulioambiwa utakuja awamu ya pili
Mbona tayari tumo kwenye upepo halisi wa mageuzi. Wewe unashauri tuweke turubai kuuzuia huu upepo kuvuma na kuzoa takataka!
Inaingia akilini hii?
 
Kama wenzake wanakiona Cha mtema Kuni na yeye lazima aonje iyo shutubu
Njoo wewe umuonyeshe hicho cha mtema kuni.
Ujasiri wa kichoko unauleta humu!
We pambana na Trump, utarudishwa home kama kifurushi shauri yako.
 
Atabadili jina akistaafu, maana hana Cha kujivunia Duniani kwa ujinga huu!
 
You kill them; then you turn around and tell the rest of them, "let's embrace our differences"!
You must be nuts.
Hawa jamaa wanataka tu embrace uuaji na uonezi, babake mzazi angekuwa death row angeleta hiyo story yake ?..
 
Uwakili ni kazi tu, uwe uwakili wa serikali au binafsi, ni hoja tu ndiyo zinazoshindaniwa, kwanini utake kumdhuru wakili ili hali anafanya kazi ili watoto wake wale

Tumia akili, kama unazo, kama hauna embu ata azima za jirani yako
Huyu sio wakili Wala hana hoja za kiwakili,anajikaza tuu ndio maana anajikunakuna,Moja haikai ,mbili haikai!
 
hana dosari yoyote ile shida ni wale watu wenye kulazimisha wayatakayo na kono hawatafanikiwa
 
Njoo wewe umuonyeshe hicho cha mtema kuni.
Ujasiri wa kichoko unauleta humu!
We pambana na Trump, utarudishwa home kama kifurushi shauri yako.
Tunaoishi blue state Trump haleti pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…