Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM.
Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama wanaona watanzania ni wajinga ndio maana wako na mapenzi ya kwa simba na yanga.
Swali la kujiuliza hivi hawa viongozi wanayo elimu ya kiasi gani hadi kuona watanzania ni wajinga?Mwenye CV ya Mzee mbowe na Lema ,tunaombeni mturushie hapa.