Watanzani wasikuwa upande wa CDM ni Wajinga ndio manaa wanapenda Simba na Yanga

Watanzani wasikuwa upande wa CDM ni Wajinga ndio manaa wanapenda Simba na Yanga

Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM.
Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama wanaona watanzania ni wajinga ndio maana wako na mapenzi ya kwa simba na yanga.
Swali la kujiuliza hivi hawa viongozi wanayo elimu ya kiasi gani hadi kuona watanzania ni wajinga?Mwenye CV ya Mzee mbowe na Lema ,tunaombeni mturushie hapa.
Wanaoiunga mkono CCM ni majuha na masikini
 
KUNGUNI yeyote atakaye jaribu kusogeza pua yake atajuta kuandamana.
 
Back
Top Bottom