Mabango ya Energy Drink 😂Watz wajinga huamini kwani
Yaani ndo umekua taahira kiasi hiki?Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM.
Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama wanaona watanzania ni wajinga ndio maana wako na mapenzi ya kwa simba na yanga.
Swali la kujiuliza hivi hawa viongozi wanayo elimu ya kiasi gani hadi kuona watanzania ni wajinga?Mwenye CV ya Mzee mbowe na Lema ,tunaombeni mturushie hapa.
Tuweke CV ya mzee Mbowe na Lema acha kupiga makeleWatz wajinga huamini kwani
Mjinga wa kwanza ni wewe unayechukulia kila kitu kwa mitazamo ya kisiasa.Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM.
Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama wanaona watanzania ni wajinga ndio maana wako na mapenzi ya kwa simba na yanga.
Swali la kujiuliza hivi hawa viongozi wanayo elimu ya kiasi gani hadi kuona watanzania ni wajinga?Mwenye CV ya Mzee mbowe na Lema ,tunaombeni mturushie hapa.
Kwa hiyo mimi ndio niliosema Simba na Yanga zifutwe?Mjinga wa kwanza ni wewe unayechukulia kila kitu kwa mitazamo ya kisiasa.
Haaaa,mkuu siasa ndio kila kitu ,utawezaji kutofautisha siasa na kuendesha nchi ? Ndio maana mnaitwaga ni Nyumbu wa SACCOS ya mzee MboweKudhihirisha kwamba wewe ni mjinga, unaomba upewe CV ya Mbowe na Lema, kakuambia nani kwamba vyeti vya shuleni vinafaa chochote kwenye masuala ya kisiasa?.
Huo ndio ukweli! Mama Kila goli anawapa 5 m ,huku anauza bandari
Kama unaelewa lugha,soma hapo we nyumbu👇How Tanzania’s strategic port is redefining regional logisticsHuo ndio ukweli! Mama Kila goli anawapa 5 m ,huku anauza bandari
Kama umesona na unaelewa lugha soma hapo we nyumbu👇How Tanzania’s strategic port is redefining regional logistics
Siasa na Dini ni Upumbavu... Siwezi kuwa sehemu ya Stupidity...Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM.
Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama wanaona watanzania ni wajinga ndio maana wako na mapenzi ya kwa simba na yanga.
Swali la kujiuliza hivi hawa viongozi wanayo elimu ya kiasi gani hadi kuona watanzania ni wajinga?Mwenye CV ya Mzee mbowe na Lema ,tunaombeni mturushie hapa.
Mzee perfomance improvement ni kitu kinaweza fanyika ,tunaposema nyie ni Nyumba ni pamoja na kuona kila kitakachofanyika lazima kiwe perfect .POOR CDM members ,mnatia KINYAADisadvantages
1. Congestion:
- The port often suffers from congestion, leading to delays in cargo handling and increased shipping costs.
2. Limited Capacity:
- Despite improvements, the port’s capacity may still be insufficient to handle growing trade volumes, particularly during peak seasons.
3. Infrastructure Challenges:
- While investments are being made, some areas, such as road and rail connections, remain underdeveloped, affecting the overall logistics network.
4. Political and Regulatory Issues:
- Bureaucratic inefficiencies and regulatory hurdles can complicate operations and discourage foreign investment.
5. Environmental Concerns:
- Increased shipping activity may lead to environmental degradation, impacting local communities and ecosystems.
Lema alivuta bangi miaka ya nyuma kichwa chake kimejaa moshi mbaya. Ni kwa sababu ya demokrasi tu lakini ni mtu mwenye mawazo ya kawaida mno yasiyo na hadhi ya kupewa kipaumbele.Kwa hiyo mimi ndio niliosema Simba na Yanga zifutwe?
Disadvantages
1. Congestion:
- The port often suffers from congestion, leading to delays in cargo handling and increased shipping costs.
2. Limited Capacity:
- Despite improvements, the port’s capacity may still be insufficient to handle growing trade volumes, particularly during peak seasons.
3. Infrastructure Challenges:
- While investments are being made, some areas, such as road and rail connections, remain underdeveloped, affecting the overall logistics network.
4. Political and Regulatory Issues:
- Bureaucratic inefficiencies and regulatory hurdles can complicate operations and discourage foreign investment.
5. Environmental Concerns:
- Increased shipping activity may lead to environmental degradation, impacting local communities and ecosystems.
Kila mtu Tanzania hii anaamini anayo haki ya kuongea na kusikilizwa, kwa wale wataalam wa sekta husika huwa wanasoma maoni na kuachana nayo hawajishughulishi kuumiza vichwa vyao kutaka kuzijibu hoja zao.Mzee perfomance improvement ni kitu kinaweza fanyika ,tunaposema nyie ni Nyumba ni pamoja na kuona kila kitakachofanyika lazima kiwe perfect .POOR CDM members ,mnatia KINYAA
Eti ni kiongozi wa chama ?maajabu haya.Lema alivuta bangi miaka ya nyuma kichwa chake kimejaa moshi mbaya. Ni kwa sababu ya demokrasi tu lakini ni mtu mwenye mawazo ya kawaida mno yasiyo na hadhi ya kupewa kipaumbele.
90% of tz citizens wanaiunga mkono chadema japo kwa SiriKwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM.
Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama wanaona watanzania ni wajinga ndio maana wako na mapenzi ya kwa simba na yanga.
Swali la kujiuliza hivi hawa viongozi wanayo elimu ya kiasi gani hadi kuona watanzania ni wajinga?Mwenye CV ya Mzee mbowe na Lema ,tunaombeni mturushie hapa.
Hee labda wachagga na tena wachagga wa machame ambao si wachagga halisi90% of tz citizens wanaiunga mkono chadema japo kwa Siri
Na sehemu pekee wanapo weza kulionyesha hili Ni kwenye sanduku la kura
Tatizo linakuja kwamba wahesabu kura na walinzi wa kura pamoja na watangazaji wa mshindi wa kura wakiwemo na waaposhaji wa mshindi wanalipwa na kulindwa na ccm
Huenda hapo ujinga wao ndipo unapo anzia