Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Swala la meli zao halihusiki hapa, wamekamatwa na unga wanastahili kuhukumiwa kwa sheria za iran.
Big up sana iran.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
weme sababisha kila kija ukienda kuomba visa una zaniwa unajihusisha na uga matokeo yake ni mashariti kuwa magumu..acha wafunge tena kwa walio kamatwa na uga wanyongwe kabisa..