Watanzania 120 washikiliwa mahabusu za Iran

Watanzania 120 washikiliwa mahabusu za Iran

Swala la meli zao halihusiki hapa, wamekamatwa na unga wanastahili kuhukumiwa kwa sheria za iran.
Big up sana iran.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

weme sababisha kila kija ukienda kuomba visa una zaniwa unajihusisha na uga matokeo yake ni mashariti kuwa magumu..acha wafunge tena kwa walio kamatwa na uga wanyongwe kabisa..
 
weme sababisha kila kija ukienda kuomba visa una zaniwa unajihusisha na uga matokeo yake ni mashariti kuwa magumu..acha wafunge tena kwa walio kamatwa na uga wanyongwe kabisa..
hapa nakuunga mkono,ila wale wa madogomadogo waachwe
 
Hao wanaoshikiliwa kwa kujihusisha na madawa ya kulevya wasiwachiwe, wapigwe kitanzi tu. Hawafai hata kidogo.
 
Hao wanaoshikiliwa kwa kujihusisha na madawa ya kulevya wasiwachiwe, wapigwe kitanzi tu. Hawafai hata kidogo.
haha sasa unadhani kuna atakaepona kati ya hao? iran huko wanazungumza kipersian mtu uende kutafuta nini zaidi ya madawa yasiyo na lugha...

mbona sijaelewa iweje sie hapa uwepo ubalozi wa iran na Tanzania hauna ubalozi huko?
 
Back
Top Bottom