Watanzania 2 wakamatwa na kilo 15.6 za Heroin nchini India

Wasafirishaji wawili Wa Madawa Ya Kulevya Bi.Deborah Eliah na Bwn. Felix Obadia wamekamatwa Kwenye Uwanja Wa Ndege Wa Chennai Wakisafirisha Kg.15.6 za Madawa Ya Kulevya Aina ya Heroin.
.
Watanzania Hao Wawili Wamekamatwa Uwanja wa Ndege Walipowasili Wakitokea Johannesburg Kupitia Doha.
.
Imesekana Deborah alikuwa anasafiri Kwenda India Kwa Matibabu Akiwa na Bwn. Felix Obadia Huko Bengaluru.​

 

Hata barakoa wangevua tu
 
Mamlaka zilitakiwa ziwape huo unga wabwie hadi uishe kisha waache waondoke zao kwenda Israel.

Viatu vyao sasa ni wazi bila uchunguzi wa awali vinaonesha ni watanzania kweli na watanzania tunajuana kupitia viatu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watanzania tunajuana kupitia viatu.
 
Mwenye mzigo yupo anagawa mabati na sementi kwa wapiga kura wake ili 2025 apite kwa kishindo!
 
Inakuaje heroin inatoka south inaenda India wakati heroin yenyewe inatoka Asia?? logistic za madawa zinachanganya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…