Watanzania 2 wakamatwa na kilo 15.6 za Heroin nchini India

Watanzania 2 wakamatwa na kilo 15.6 za Heroin nchini India

Wasafirishaji wawili Wa Madawa Ya Kulevya Bi.Deborah Eliah na Bwn. Felix Obadia wamekamatwa Kwenye Uwanja Wa Ndege Wa Chennai Wakisafirisha Kg.15.6 za Madawa Ya Kulevya Aina ya Heroin.
.
Watanzania Hao Wawili Wamekamatwa Uwanja wa Ndege Walipowasili Wakitokea Johannesburg Kupitia Doha.
.
Imesekana Deborah alikuwa anasafiri Kwenda India Kwa Matibabu Akiwa na Bwn. Felix Obadia Huko Bengaluru.​

View attachment 2167895View attachment 2167900
Hawa wanao enda kutibiwa uko India wafuatiliwe kwa umakini mkubwa maana watu wana
Mamlaka zilitakiwa ziwape huo unga wabwie hadi uishe kisha waache waondoke zao kwenda Israel.

Viatu vyao sasa ni wazi bila uchunguzi wa awali vinaonesha ni watanzania kweli na watanzania tunajuana kupitia viatu.
Hahahahahahaha kwa wewe kuweza?
 
Inakuaje heroin inatoka south inaenda India wakati heroin yenyewe inatoka Asia?? logistic za madawa zinachanganya sana
Maabara kubwa za unga hivi sasa zipo america ya kusinini mkuu ila Asia ni vituo vidogo vya kusafirisha tu.
 
Back
Top Bottom