Watanzania 2 wakamatwa na kilo 15.6 za Heroin nchini India

Watanzania 2 wakamatwa na kilo 15.6 za Heroin nchini India

Wasafirishaji wawili Wa Madawa Ya Kulevya Bi.Deborah Eliah na Bwn. Felix Obadia wamekamatwa Kwenye Uwanja Wa Ndege Wa Chennai Wakisafirisha Kg.15.6 za Madawa Ya Kulevya Aina ya Heroin.
.
Watanzania Hao Wawili Wamekamatwa Uwanja wa Ndege Walipowasili Wakitokea Johannesburg Kupitia Doha.
.
Imesekana Deborah alikuwa anasafiri Kwenda India Kwa Matibabu Akiwa na Bwn. Felix Obadia Huko Bengaluru.View attachment 2167895View attachment 2167900

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani msifanye vitu kama, wanakuwa na mbwa wa kunusa madawa. Nimeshaona mbwa anamfwata mtu nyuma kwenye suruali. Kumbe alikuwa ameziweka kwenye njia ya haja kubwa. MABEGI ndege ikifika mabegi/ masanduku yanawekwa chini, mbwa anaruhusiwa kunusa sanduku mmoja mmoja. Ni tumboni tuu unaweza bahatisha, tumboni hutakiwi kula chochote, na kawaida wanakuripoti usipokula.( flight attendance)
 
Hyo picha ya chini inachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inakuaje heroin inatoka south inaenda India wakati heroin yenyewe inatoka Asia?? logistic za madawa zinachanganya sana
Acha kabisa ni kama msuba unalimwa meru unasafirishwa hadi Dar, pwani na Moro halafu mzigo unarudi tena huko ulipotoka. Aisee hao ni mapunda tu hawajui chochote walipewa mzigo tu waubebe.
 
Dar wamepita kama kawa, ila Tz itamkumbuka sana Dkt Magufuli.
 
Inakuaje heroin inatoka south inaenda India wakati heroin yenyewe inatoka Asia?? logistic za madawa zinachanganya sana
Ni mtandao unaotumia akili ya Hali ya juu sana ili wasijulikane yaanzia wapi
.
Na Ni Biashara ya pili yenye ukwasi mkubwa baada ya ile ya Usafirishaji wa binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom