Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #41
Huyu jamaa siku hizi anapwaya sana.
Kwani mchawi ni nani?
Nani anaerekodi viwango vya wanajf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa siku hizi anapwaya sana.
Kwani mchawi ni nani?
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Takwimu zako zinaonyesha watanzania 33.5% ndio wanaimani na Mungu au ndio wanamwabudu Mungu,wengine wote mizimu na miungu
uislam + dini za jadi + dini nyingine = 66.5 waabudu miungu. Hii ni hatari.
Mkuu,bora kuwa mchawi kuliko kuabudi hizi dini za kuletewa na wazungu na warabu,wametuetea dini halafu wanatudharau
Watu wapuuzi sana eti kuwa na fikra za kitumwa eti wanamuabudu mungu. Dini ni sehemu tu ya tamaduni hivyo hata afrika tanzania tunazo tamaduni zetu. Iweje tamaduni za kiafrika uziite uchawi? Kuamini dini za kiarabu na kizungu au nje ya imani ya mwenye asili ya africa ni utumwa wa fikra. Kama kuamini imani za kiafrika ni uchawi okey basi mimi ni mchawi namba moja na siamini bibilia wa qurani zaidi ya kufanya matambiko ya kila mwaka na mambo yangu yananyoka.
Tena dini za kitanzania zinatoa majibu papo hapo muda mfupi baada ya sara mfano nilifukuzwa job nikaenda kwa babu tarime akafanya tambiko fasta nikarudishwa job, dogo alipararaiz fasta nilipofika tarime babu akafanya manuva akapona tena sasa yuko huko darful analinda amani. Sasa hao wanaomuamini mungu wa waarabu na wazungu wapo wapi mbona wanaikimbia afrika ya kati.
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Point of correction waislaam TZ ni zaidi ya asilimia 60
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Unatumia takwimu zipi ndugu?
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
asilimia zipi hizo 34.3
we ndo hujui kiswahili,ujanja mwingi mbele giza,unapokuwa na maana pana zaidi uwe unaleta ikiwa inaeleweka siyo unafanya iwe na maana pana kwa fikra zako binafsi akilini.
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.