Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam TZ na Dunia,
Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake.
Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku yanayoonekana na yasioonekana.
Watu aina ya Tundu Lissu na wengine wenye akili ndogo ndani ya chadema wana akili mtindio.
Hakuna adui wa wote duniani wakati mshuzi Lissu akimpinga Magufuli sio wote walimpinga Magufuli na hata sasa wasiopendezwa na Rais Hassan pia haizuii wengine kuendelea na raha zao wakifurahia utawala wa Hassan.
Hakuna mkosaji wa milele na hakuna asiyesameheka milele.
Watanzania acheni wivu.
Shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz