Nyie kiti moto tamu sana ndio wenye ubongo!!Waambie kipenzi hawa mbweha hawana ubongo
Acha kututoa kwenye reli ; uliona power ya Makonda alipotaka kumdhibiti VUVUZERA NAPE kwa kumtuma mtu wake mwenye silaha amzuie asifanye press conference baada ya Magu kumtema uwaziri?Acheni uhuni tumieni drones mkawaone hao marehemu wenu na ilipo damu ya huyo Chiba wenu, Kwa akili zenu mbovu makonda ana uwezo gani wa kumdhuru Lissu. Anzeni na Uchunguzi wa Chacha Wangwe
Wewe kama unahasira na Makonda unajisumbua tu! Mwenzako anakuzidi kila kitu!Acha kututoa kwenye reli ; uliona power ya Makonda alipotaka kumdhibiti VUVUZERA NAPE kwa kumtuma mtu wake mwenye silaha amzuie asifanye press conference baada ya Magu kumtema uwaziri?
Wewe kama unahasira na Makonda unajisumbua tu! Mwenzako anakuzidi kila kitu!
Mnajisimbuwa sana, waulizeni tec.
Wanafahamu kila kitu.
Mlishawahi kuwasikia wakiiongelea dhambi hiyo hata siku moja?
Msinisemeshe mengi.
Hawa akina makonda kama alikudhulumu ni muda sahihi wa kulipa kisasi kabla hajalamba teuziSasa makonda sio mtu hana haki acheni wivu hakuna mwenye makosa ya milele wala asiyesameheka milele, wakati ukimchukia makonda wapo wengi wanaompenda makonda. Iwe mvua iwe jua awaye yeyote ana haki nyakati zote na popote pale kwa namna inyofaa masharti na vigezo kuzingatiwa
Kwn hakuna kazi nyingine za kufanya mpaka mteuliwe.fanyeni kazi nyingneSasa makonda sio mtu hana haki acheni wivu hakuna mwenye makosa ya milele wala asiyesameheka milele, wakati ukimchukia makonda wapo wengi wanaompenda makonda. Iwe mvua iwe jua awaye yeyote ana haki nyakati zote na popote pale kwa namna inyofaa masharti na vigezo kuzingatiwa