Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Yaani watanzania wana roho mbaya nyie. Mtu eti anamwomba mtu msaada basi hawezi kumpa mpaka amzungushe au adai penzi. Acheni hii tabia itawacost nyie. Nipo sure hizi roho za kwanini zitawacost.
Nimesema ukweli nasio uongo. Mwanaume mzuri wakila kitu na bado anaroho mbaya kutoa usaidizi ni ngumu. Unamkuta mtu anaroho mbaya kama nini.
Mwingine utakuta ni mwanadada mtanashati kiukweli ila hana la maana Roho mbaya ile ile, mpaka akuvutie utoe msaada. Jamani hii ni kali sana nani mbaya maana sio kila siku utakuwa juu. Hata wewe utahitaji msaada na hiyo siku na wao uliowatarajia akupi.
Watu mna roho mbaya kuweni wepesi wa kutoa misaada. Kwa maana hata nyie mkikwama hamtosaidia.