King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Unakuta kuna kazi mtu wakaribu anavunga .
Unajiuliza ni kwa nini??
Hiki kitu alifanya kuna huyu mtu ni swaiba kinoma noma.
Alijua kuna kazi kwa mshikaji wake nanifani yangu .
Tumeishi kisela kwa muda ila mshenzi huyu kwa fadhila zote alikaaa kimya.
Hajasema,lolote mpaka nimesanuka nikja interview eti hiyo siku asubuhi .
Akaja na manzi ndio kamwona anafaa hiyo kazi akatusalimia aliponiona eh Moyo ulimbip unaroho mbaya sana.
Akaanza kujishika shika mwisho yule bosy akamchana kumbe huyu ndio yule demu aliyekuwa msela wako halafu unamleta mwingine kwa kazi.??
Yue bwana akaona aibu.
Mtu yupo porini anafanya kazi saa za free au nilazima tu atapata muda wakupiga ila atakubali kuwa atafanya ila hafanyi. Mpaka mwishooo.
Mwingine ni mamichongo mengine akiwaza unaenda kuwa kama yeye chora chini hakusaidii.
Aisee inasikitisha kwa watu wa karibu kubaniana MICHONGO.