Watanzania acheni roho mbaya


Aisee inasikitisha kwa watu wa karibu kubaniana MICHONGO.
 
NA nyie acheni u omba omba ulaya hizo mambo hakuna. Credit cards ndo shoga ako.
 
Vipi yule mkaka aliyekuwa akikuminyia macho ulipo enda kumsaidia mama kazi yake,mlifikia wapi?
 
Nikikusomaga kwa kina naona kabisa kiswahili kinasumbua kiaina.

Mtu anaefanya kazi porini usimlaumu
Labda uilaumu roho yake lkn mazingira ya anakofanyia kazi
 
Yote hii ni kwa sababu watu hawaaminiani, wanataka kukomoana.
 
Ujue hata kulazimisha mtu akusaidie wakati yeye hataki nayo ni roho mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…