Watanzania acheni unafiki, ina maana kifo cha Ivan kimewauma kuliko Dogo Mfaume?

N kweli mr
Wa2 weng hawakupata habar za mfaume..,,
 
Wewe mbona sikuona uzi wako humu kuhusu dogo mfaume kufariki? Jiulize!
 
Hatupangiwi wa kumlilia

We endelea kumlilia huyo mfaume wako aliyekufa kwa matumizi ya ngada sisi tuache tumlilie Ivan
Poza hata kdg ukali wa maneno mkuu basi[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Kwani ivan akililiwa inakupunguzia nini wewe. Kwani yeye sio binadamu

Mkuu una wivu hadi kwa marehemu aisee
Maneno hayo ahh!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
cocochanel acha dharau bana, dogo mfaume humfahamu kweli

Mtu nimeandika "samahani..." bado unasema ni dharau... wa Tanzania mnataka mtu awe muongo ndio mtapenda? Na kwani ni lazima kumfahamu kila binadamu? Hata hapa naandika sijui alikuwa anafanya nini? Na kama nilimsikia labda ilipita pembeni ya sikio. Ndio hivyo.... kama ni veleb basi u celebrity una malevo.. ikichangiwa na celeb mwenyewe anajiwekaje kwa watu.
 
Unakufa hujaacha Mali za Watu kutoana Ngeu unajiita kweli Mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…