Watanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei.
Leo nimeshangaa sana baada ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii nakuta watu wengi wakilia na kuonyesha kuumia sana na kifo cha Ivan, kwanza niseme tu mimi nilikua simjui huyo ndugu, nikataka kujua ni mtu wa wapi nikaambiwa ni mganda alikua mume wa mke wa Daimondi.
Nikauliza kama ni msanii labda wa muziki au maigizo nikaambiwa hapana ni social celebrity tu, anyway sina shida na hilo lakini kilichonishangaza ni kukuta watu kuonekana wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko mtanzania mwenzao Dogo mfaume ambae amezikwa juzi na sikuona msanii yoyote ametupia picha ya dogo mfaume au basi kutoa pole.
Utashangaa kifo cha Ivan kimewaumiza sana watanzania kuliko mtanzania mwenzao aliefariki juzi tu hapa, na utashangaa kujua kua watanzania wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko hata waganda.
Unafiki jambo baya sana.
Kama familia yenu imejaa vibaka, watu wasio na shughuli ya kufanya, Losers mnaotegemea ndugu/baba yenu afe mgawane mali poleni sana.Unakufa hujaacha Mali za Watu kutoana Ngeu unajiita kweli Mwanaume?
Sasa huyo ivan kakufanyia nini hadi umlilie, huyo ivan ana mchango gani katika jamii ya Kitanzania hadi ujitoe akili kumlilia.Zaidi ya kuvuta mibange na unga ana mchango upi katika jamii wa kutufanya kupotez bando zetu kumlilia?
Nani alikudanganya mtu akifa anapumzika?acheni apumzike kaka watu
kumbe anaenda kutesekaNani alikudanganya mtu akifa anapumzika?
Kufa ni kufa tu hakuna kufa kuzuri, alikufa kwa ngada na huyu kama kwa HBP vyote ni vifo tu.Hatupangiwi wa kumlilia
We endelea kumlilia huyo mfaume wako aliyekufa kwa matumizi ya ngada sisi tuache tumlilie Ivan
Sijasema hivyo, bimekuuliza nani alikudanganya kua ukifa unapumzika?Nani alikudanganya mtu akifa anapumzika?
Huyo dogo mfaume aliendekeza madawa ya kulevya na ndiyo yaliyomuuwaKufa ni kufa tu hakuna kufa kuzuri, alikufa kwa ngada na huyu kama kwa HBP vyote ni vifo tu.
wewe unalilia aina ya kifo au unalia mtu kafa, sitaki kuamini akili yako imefikia hapa, hapana, you are better than this mtanashati.
Dogo mfaume ambae amezikwa juzi na sikuona msanii yoyote ametupia picha ya dogo mfaume au basi kutoa pole.
Hivi hii emoji uliyoweka hapa huwa inamaanisha nini?? Elimu kidogo.Maneno hayo ahh!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwani ivan akililiwa inakupunguzia nini wewe. Kwani yeye sio binadamu
Mkuu una wivu hadi kwa marehemu aisee
Kabisa, ya Ngoswe huwa tunamuachia NgosweSocial Influence effect. May be you have to live your life.
Eti wivu hadi kwa marehemu, ndo nachoshangaaHivi hii emoji uliyoweka hapa huwa inamaanisha nini?? Elimu kidogo.