Watanzania bado tuna safari ndefu sana kuifikia Demokrasia ya kweli

Username 20

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
743
Reaction score
1,522
Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari

Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV) ndio habari kuu wameona hiyo

Hawakutaka hata watazamaji wao wajue ajenda ya mkutano huo ni nini, kwaiyo bila online tv's waTanzania hawawezi kujua chochote kuhusu vyama vya upinzani

Imenifanya niwaze matamko ya baadhi ya viongozi ambayo moja kwa moja yalifaa kufunguliwa kesi za kijinai lkn mpaka leo kimya

Yule bwana mdogo wa UVCCM Kagera alivyodai watu wakipotea polisi wasichukue hatua yoyote kijana mpaka leo yupo mtaani anadunda, kuna yule aliekuwa mkuu wa wilaya Longido aliishia kuachishwa kazi tu lkn mpaka leo yupo mtaani

Kwa hali hii inavyooneka na upendeleo wa wazi wazi kiasi hiki sioni kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki
CHADEMA naona wako sawa sana kuja na sera ya no reform, no election wasiwasi wangu ni watafanikiwaje?

Mm kama mwanaCCM bado naamini kwenye ushindani huru na wa uwazi, tuna wanachama wengi kuliko chama chochote nchini, tuna rasilimali fedha kubwa kuliko chama chochote nchini kwanini tuendelee kutoamini kama box huru la kura linaweza kutupa ushindi

Kuna wafanyabiashara kibao mtaani wamechoka na mifumo ya kikodi nchini hawana namna wameamua kuufyata tu maana ukiinua mdomo useme kuna uwezekano kesho uamke na kesi ama ufilisiwe namna pekee ni kuiunga mkono CCM
Tuliombee taifa.
 
wachache watakuelewa hapa
 
kwani machawa wanasemaje Mkuu?
 
Mfanya Biashara Yeyote ktk Nchi hii ni CCM.... Na Mimi nikiwemo. Mimi CCM
We unajua ila unajizima Data, kaka watu wanalinda Biashara zaoooo
😂😂😂 sema mm nilichukua kadi sio kujihami bali nlikuwa na mapenzi na chama na lengo ilikuwa siku moja nijitose kuwania ubunge ikiwezekana, japo marafiki zangu wengi wanatumia mbinu hiyo kwa kijihami na hawana mapenzi yoyote na chama
 
Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari

Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV) ndio habari kuu wameona hiyo

Hawakutaka hata watazamaji wao wajue ajenda ya mkutano huo ni nini, kwaiyo bila online tv's waTanzania hawawezi kujua chochote kuhusu vyama vya upinzani

Imenifanya niwaze matamko ya baadhi ya viongozi ambayo moja kwa moja yalifaa kufunguliwa kesi za kijinai lkn mpaka leo kimya

Yule bwana mdogo wa UVCCM Kagera alivyodai watu wakipotea polisi wasichukue hatua yoyote kijana mpaka leo yupo mtaani anadunda, kuna yule aliekuwa mkuu wa wilaya Longido aliishia kuachishwa kazi tu lkn mpaka leo yupo mtaani

Kwa hali hii inavyooneka na upendeleo wa wazi wazi kiasi hiki sioni kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki
CHADEMA naona wako sawa sana kuja na sera ya no reform, no election wasiwasi wangu ni watafanikiwaje?

Mm kama mwanaCCM bado naamini kwenye ushindani huru na wa uwazi, tuna wanachama wengi kuliko chama chochote nchini, tuna rasilimali fedha kubwa kuliko chama chochote nchini kwanini tuendelee kutoamini kama box huru la kura linaweza kutupa ushindi

Kuna wafanyabiashara kibao mtaani wamechoka na mifumo ya kikodi nchini hawana namna wameamua kuufyata tu maana ukiinua mdomo useme kuna uwezekano kesho uamke na kesi ama ufilisiwe namna pekee ni kuiunga mkono CCM
Tuliombee taifa.
Hakuna mwanaCCM jinga km wewe. Waanzishe chombo chao cha habari, kila chombo cha habari kina sera zake. Watu wenye akili watangaze ule upuuzi wa Lissu na Heche? Ur nt serious!
 
Mfanya Biashara Yeyote ktk Nchi hii ni CCM.... Na Mimi nikiwemo. Mimi CCM
We unajua ila unajizima Data, kaka watu wanalinda Biashara zaoooo
Huu ni upotofu wa kutojua kesho yako. Maisha ya nyumbu haya. Akikamatwa mmoja wengine wanasema ''ohoo alizubaa wapi huyu''. Maisha ya namna hii yana mwisho mbaya kabisa.
 
Hakuna mwanaCCM jinga km wewe. Waanzishe chombo chao cha habari, kila chombo cha habari kina sera zake. Watu wenye akili watangaze ule upuuzi wa Lissu na Heche? Ur nt serious!
Ww unaamini kwenye huu mfumo wa sasa sio? Tuliza hasira sasa usitukane tunaotakiwa kutukana ni sisi wajina ila nyie waelewa mna jukumu la kututoa huo ujinga kwa kutuelewesha sio kwa kutukana wenye akili na maarifa hawatukani mkuu

Tujibu sasa, kwamba uchaguzi mkuu 2020 ni kweli tulikupalika kwa kiasi hicho na tukashinda kwa ukubwa huo wote?
Vipi kuhusu wagombea kuenguuliwa kwamba mwalimu mstaafu hawezi kuandika jina lake ni kwel?
Haya hizo kauli za kupoteza watu wasiokuunga mkono ni sawa?
 
Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari

Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV) ndio habari kuu wameona hiyo

Hawakutaka hata watazamaji wao wajue ajenda ya mkutano huo ni nini, kwaiyo bila online tv's waTanzania hawawezi kujua chochote kuhusu vyama vya upinzani

Imenifanya niwaze matamko ya baadhi ya viongozi ambayo moja kwa moja yalifaa kufunguliwa kesi za kijinai lkn mpaka leo kimya

Yule bwana mdogo wa UVCCM Kagera alivyodai watu wakipotea polisi wasichukue hatua yoyote kijana mpaka leo yupo mtaani anadunda, kuna yule aliekuwa mkuu wa wilaya Longido aliishia kuachishwa kazi tu lkn mpaka leo yupo mtaani

Kwa hali hii inavyooneka na upendeleo wa wazi wazi kiasi hiki sioni kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki
CHADEMA naona wako sawa sana kuja na sera ya no reform, no election wasiwasi wangu ni watafanikiwaje?

Mm kama mwanaCCM bado naamini kwenye ushindani huru na wa uwazi, tuna wanachama wengi kuliko chama chochote nchini, tuna rasilimali fedha kubwa kuliko chama chochote nchini kwanini tuendelee kutoamini kama box huru la kura linaweza kutupa ushindi

Kuna wafanyabiashara kibao mtaani wamechoka na mifumo ya kikodi nchini hawana namna wameamua kuufyata tu maana ukiinua mdomo useme kuna uwezekano kesho uamke na kesi ama ufilisiwe namna pekee ni kuiunga mkono CCM
Tuliombee taifa.
Watanzania karne hii bado wanasubirk habari kwa Tv? Hao wa hivyo hatuwataki
 
Bado wapo wengi sana mkuu, tena sio vijijini ni mjini kabisa, bando GB 1 inauzwa kwa Tsh. 3000 unadhani ni wangapi wanaweza kugharamia GB 1 ambayo haitoboi siku moja?
 
Back
Top Bottom