Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 743
- 1,522
wachache watakuelewa hapaLeo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari
Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV) ndio habari kuu wameona hiyo
Hawakutaka hata watazamaji wao wajue ajenda ya mkutano huo ni nini, kwaiyo bila online tv's waTanzania hawawezi kujua chochote kuhusu vyama vya upinzani
Imenifanya niwaze matamko ya baadhi ya viongozi ambayo moja kwa moja yalifaa kufunguliwa kesi za kijinai lkn mpaka leo kimya
Yule bwana mdogo wa UVCCM Kagera alivyodai watu wakipotea polisi wasichukue hatua yoyote kijana mpaka leo yupo mtaani anadunda, kuna yule aliekuwa mkuu wa wilaya Longido aliishia kuachishwa kazi tu lkn mpaka leo yupo mtaani
Kwa hali hii inavyooneka na upendeleo wa wazi wazi kiasi hiki sioni kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki
CHADEMA naona wako sawa sana kuja na sera ya no reform, no election wasiwasi wangu ni watafanikiwaje?
Mm kama mwanaCCM bado naamini kwenye ushindani huru na wa uwazi, tuna wanachama wengi kuliko chama chochote nchini, tuna rasilimali fedha kubwa kuliko chama chochote nchini kwanini tuendelee kutoamini kama box huru la kura linaweza kutupa ushindi
Kuna wafanyabiashara kibao mtaani wamechoka na mifumo ya kikodi nchini hawana namna wameamua kuufyata tu maana ukiinua mdomo useme kuna uwezekano kesho uamke na kesi ama ufilisiwe namna pekee ni kuiunga mkono CCM
Tuliombee taifa.
kwani machawa wanasemaje Mkuu?Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari
Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV) ndio habari kuu wameona hiyo
Hawakutaka hata watazamaji wao wajue ajenda ya mkutano huo ni nini, kwaiyo bila online tv's waTanzania hawawezi kujua chochote kuhusu vyama vya upinzani
Imenifanya niwaze matamko ya baadhi ya viongozi ambayo moja kwa moja yalifaa kufunguliwa kesi za kijinai lkn mpaka leo kimya
Yule bwana mdogo wa UVCCM Kagera alivyodai watu wakipotea polisi wasichukue hatua yoyote kijana mpaka leo yupo mtaani anadunda, kuna yule aliekuwa mkuu wa wilaya Longido aliishia kuachishwa kazi tu lkn mpaka leo yupo mtaani
Kwa hali hii inavyooneka na upendeleo wa wazi wazi kiasi hiki sioni kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki
CHADEMA naona wako sawa sana kuja na sera ya no reform, no election wasiwasi wangu ni watafanikiwaje?
Mm kama mwanaCCM bado naamini kwenye ushindani huru na wa uwazi, tuna wanachama wengi kuliko chama chochote nchini, tuna rasilimali fedha kubwa kuliko chama chochote nchini kwanini tuendelee kutoamini kama box huru la kura linaweza kutupa ushindi
Kuna wafanyabiashara kibao mtaani wamechoka na mifumo ya kikodi nchini hawana namna wameamua kuufyata tu maana ukiinua mdomo useme kuna uwezekano kesho uamke na kesi ama ufilisiwe namna pekee ni kuiunga mkono CCM
Tuliombee taifa.
wanaelewa ila wanachukuliaje ndio changamotowachache watakuelewa hapa
😂😂😂 sema mm nilichukua kadi sio kujihami bali nlikuwa na mapenzi na chama na lengo ilikuwa siku moja nijitose kuwania ubunge ikiwezekana, japo marafiki zangu wengi wanatumia mbinu hiyo kwa kijihami na hawana mapenzi yoyote na chamaMfanya Biashara Yeyote ktk Nchi hii ni CCM.... Na Mimi nikiwemo. Mimi CCM
We unajua ila unajizima Data, kaka watu wanalinda Biashara zaoooo
Machawa wanasema bora chochote kiende kinywani, na watoto waende shulekwani machawa wanasemaje Mkuu?
Sanaa sema, mda sio mrefu kitaeleweka wacha vijana maisha yawatandike watajua tuTufananya maigizo ya kuwa na demokrasia.
Kabisa yakiwatandika vizuri watadai haki yao bila kushawishiwa na mtu. Yani msukumo unatoka ndani ya mtu mwenyewe. Kitaeleweka.Sanaa sema, mda sio mrefu kitaeleweka wacha vijana maisha yawatandike watajua tu
HAta mimi biashara yangu ikiwa kubwa kias cha kuwa noticeable, lazima nichukue kadi ua ccm huu ndio ukwelMfanya Biashara Yeyote ktk Nchi hii ni CCM.... Na Mimi nikiwemo. Mimi CCM
We unajua ila unajizima Data, kaka watu wanalinda Biashara zaoooo
Na unaipigia kura?HAta mimi biashara yangu ikiwa kubwa kias cha kuwa noticeable, lazima nichukue kadi ua ccm huu ndio ukwel
Hakuna mwanaCCM jinga km wewe. Waanzishe chombo chao cha habari, kila chombo cha habari kina sera zake. Watu wenye akili watangaze ule upuuzi wa Lissu na Heche? Ur nt serious!Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari
Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV) ndio habari kuu wameona hiyo
Hawakutaka hata watazamaji wao wajue ajenda ya mkutano huo ni nini, kwaiyo bila online tv's waTanzania hawawezi kujua chochote kuhusu vyama vya upinzani
Imenifanya niwaze matamko ya baadhi ya viongozi ambayo moja kwa moja yalifaa kufunguliwa kesi za kijinai lkn mpaka leo kimya
Yule bwana mdogo wa UVCCM Kagera alivyodai watu wakipotea polisi wasichukue hatua yoyote kijana mpaka leo yupo mtaani anadunda, kuna yule aliekuwa mkuu wa wilaya Longido aliishia kuachishwa kazi tu lkn mpaka leo yupo mtaani
Kwa hali hii inavyooneka na upendeleo wa wazi wazi kiasi hiki sioni kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki
CHADEMA naona wako sawa sana kuja na sera ya no reform, no election wasiwasi wangu ni watafanikiwaje?
Mm kama mwanaCCM bado naamini kwenye ushindani huru na wa uwazi, tuna wanachama wengi kuliko chama chochote nchini, tuna rasilimali fedha kubwa kuliko chama chochote nchini kwanini tuendelee kutoamini kama box huru la kura linaweza kutupa ushindi
Kuna wafanyabiashara kibao mtaani wamechoka na mifumo ya kikodi nchini hawana namna wameamua kuufyata tu maana ukiinua mdomo useme kuna uwezekano kesho uamke na kesi ama ufilisiwe namna pekee ni kuiunga mkono CCM
Tuliombee taifa.
Hapana ila kampeni nitachangiaNa unaipigia kura?
Huu ni upotofu wa kutojua kesho yako. Maisha ya nyumbu haya. Akikamatwa mmoja wengine wanasema ''ohoo alizubaa wapi huyu''. Maisha ya namna hii yana mwisho mbaya kabisa.Mfanya Biashara Yeyote ktk Nchi hii ni CCM.... Na Mimi nikiwemo. Mimi CCM
We unajua ila unajizima Data, kaka watu wanalinda Biashara zaoooo
Ww unaamini kwenye huu mfumo wa sasa sio? Tuliza hasira sasa usitukane tunaotakiwa kutukana ni sisi wajina ila nyie waelewa mna jukumu la kututoa huo ujinga kwa kutuelewesha sio kwa kutukana wenye akili na maarifa hawatukani mkuuHakuna mwanaCCM jinga km wewe. Waanzishe chombo chao cha habari, kila chombo cha habari kina sera zake. Watu wenye akili watangaze ule upuuzi wa Lissu na Heche? Ur nt serious!
Watanzania karne hii bado wanasubirk habari kwa Tv? Hao wa hivyo hatuwatakiLeo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari
Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV) ndio habari kuu wameona hiyo
Hawakutaka hata watazamaji wao wajue ajenda ya mkutano huo ni nini, kwaiyo bila online tv's waTanzania hawawezi kujua chochote kuhusu vyama vya upinzani
Imenifanya niwaze matamko ya baadhi ya viongozi ambayo moja kwa moja yalifaa kufunguliwa kesi za kijinai lkn mpaka leo kimya
Yule bwana mdogo wa UVCCM Kagera alivyodai watu wakipotea polisi wasichukue hatua yoyote kijana mpaka leo yupo mtaani anadunda, kuna yule aliekuwa mkuu wa wilaya Longido aliishia kuachishwa kazi tu lkn mpaka leo yupo mtaani
Kwa hali hii inavyooneka na upendeleo wa wazi wazi kiasi hiki sioni kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki
CHADEMA naona wako sawa sana kuja na sera ya no reform, no election wasiwasi wangu ni watafanikiwaje?
Mm kama mwanaCCM bado naamini kwenye ushindani huru na wa uwazi, tuna wanachama wengi kuliko chama chochote nchini, tuna rasilimali fedha kubwa kuliko chama chochote nchini kwanini tuendelee kutoamini kama box huru la kura linaweza kutupa ushindi
Kuna wafanyabiashara kibao mtaani wamechoka na mifumo ya kikodi nchini hawana namna wameamua kuufyata tu maana ukiinua mdomo useme kuna uwezekano kesho uamke na kesi ama ufilisiwe namna pekee ni kuiunga mkono CCM
Tuliombee taifa.
Bado wapo wengi sana mkuu, tena sio vijijini ni mjini kabisa, bando GB 1 inauzwa kwa Tsh. 3000 unadhani ni wangapi wanaweza kugharamia GB 1 ambayo haitoboi siku moja?Watanzania karne hii bado wanasubirk habari kwa Tv? Hao wa hivyo hatuwataki