Watanzania bana

Watanzania bana

Ndio, kwn we wa wapi

Hehehe mtafutane huko, usishangae jamaa hukatiza Mambasani kwenye mishe zake, ila sijui kwanini Watz ukiwatajia umetokea Mombasa wanaingiwa na kiwewe fulani hivi, sijajua nini mliwafanya huko...hehehe!! 1academ hebu tuambie kwanini Watanzania huwa hawana hamu na county 001, nilikua nawaskia wakiambizana wenyewe kwa wenyewe kwamba "usiniletee mambo ya Kimombasa Mombasa", ila pale ukielekea Gongo la Mboto, Dar kuna sehemu inaitwa Mombasa nilikua napenda kwenda kula mishkaki nikisubiri pipa liwe tayari JNIA.
 
Hiyo ni jadi ya wa-afrika, nyie wazungu wa afrika hayawahusu
 
Walipandikiziwa vijistori tu na babu zao..
Si ajabu kuna baadhi yao walikuja mombasa na kujitwika katika hyo sekta, huenda walipata tabu sana..ndio manake mpka leo wakiskia mombasa huogopa...

Hku ukileta usenge una suzwa jomba...km miaka miwili iliyopita kuna jamaa kafukuliwa bombolulu na wakamrekodi..kitu kilivuja hatari...kisa ana chepuka na mke wa mtu, mwnywe alipo mdaka kamkodishia watu wamkomeshe...

So hku ukijifanya kidada au kupenda wake za watu utakomeshwa..jamaa wanakwambia ushoga peleka lamu hko

Kuna video kama hiyo niliwahi kuiona, jamaa alifumaniwa akabanwa na mateja fulani, walimtafuna tigo live kwenye video duh mke wa mtu sumu, sasa Watz wanavyopenda kunyang'anyana wake, wakija na tabia za kihivyo huko inakula kwao.
 
Hku lazima usuzwe...kesi badae, yani uachwe ndio ukajisifu..
Una suzwa halafu hamna kitu
Kuna video kama hiyo niliwahi kuiona, jamaa alifumaniwa akabanwa na mateja fulani, walimtafuna tigo live kwenye video duh mke wa mtu sumu, sasa Watz wanavyopenda kunyang'anyana wake, wakija na tabia za kihivyo huko inakula kwao.
 
Hehehe mtafutane huko, usishangae jamaa hukatiza Mambasani kwenye mishe zake, ila sijui kwanini Watz ukiwatajia umetokea Mombasa wanaingiwa na kiwewe fulani hivi, sijajua nini mliwafanya huko...hehehe!! 1academ hebu tuambie kwanini Watanzania huwa hawana hamu na county 001, nilikua nawaskia wakiambizana wenyewe kwa wenyewe kwamba "usiniletee mambo ya Kimombasa Mombasa", ila pale ukielekea Gongo la Mboto, Dar kuna sehemu inaitwa Mombasa nilikua napenda kwenda kula mishkaki nikisubiri pipa liwe tayari JNIA.
hahaa vp mkuu...lazma wapaogope sn mombasani, jamaa wanadhulumika an apo kimapenzi mazee!! njemba zikishajua ww ni mtz basiii...alf kumbe wapajua mombasa apoo karibu na jnia, nnamiliki nymba apo bomba mbili mbele ya mombasa, nliinunua 2017 frm a frnd... 😀
 
Back
Top Bottom