Watanzania bana

Watanzania bana

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
20,548
Reaction score
5,647
Wachawi intenational, mpka wakuu wa mkoa wanatoa tamko watu warogwe eti wakapige kura..
Ldc ldc ldc
Yani kila mtu anwaza uchawi tu pande zile za south[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20191027-210017_Lite~2.jpeg
FB_IMG_15721985351907284.jpeg
 
😂 😂 😂 😂 serikali ya awamu ya tano vichekesho tupu
 
Uchaguzi ukikaribia ndio albino hutamani kuihama nchi.
 
Naona BBC wametufuatilia kupata vichekesho vya dunia mpaka sasa wamechoka wenyewe.
 
Wawakilishi wa ccm hutowakuta hku...
Akina flani, sai wanajifanya wako bize ku post zile nyumba zao tatu na kibera
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu umetisha.. eti wanechoka?
Kuna kipindi hapa ilikuwa kila Makonda akitema ujinga wanatangaza, mpaka hii wiki iliyopita wamesema ujinga mpya wa Makonda.

Lakini naona wanashindwa kufuatilia, ujinga mwingi sana kuliko muda walio nao.
 
Kweli kabisa...hta wameamua kubaki na hamsini zao kw sasa
Kuna kipindi hapa ilikuwa kila Makonda akitema ujinga wanatangaza, mpaka hii wiki iliyopita wamesema ujinga mpya wa Makonda.

Lakini naona wanashindwa kufuatilia, ujinga mwingi sana kuliko muda walio nao.
 
Taifa limegeuzwa genge la kishirikina, viongozi wakuu wengi wanaamini kwenye ushirikina.
 
Wachawi intenational, mpka wakuu wa mkoa wanatoa tamko watu warogwe eti wakapige kura..
Ldc ldc ldc
Yani kila mtu anwaza uchawi tu pande zile za south[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1246588View attachment 1246589

Afrika hatuwezi fikia Japan wanaotengeneza Shikansen trains (high speed trains) au Ujerumani na Uchina wanaotengeneza Maglev trains . Sisi tuna uji kwenye vichwa vyetu.
 
Afrika hatuwezi fikia Japan wanaotengeneza Shikansen trains (high speed trains) au Ujerumani na Uchina wanaotengeneza Maglev trains . Sisi tuna uji kwenye vichwa vyetu.

Ni kama ushindani baina ya Bongo movie dhidi ya Hollywood.
 
Back
Top Bottom