Watanzania changamkeni Kilimo cha Nyoka, kinaleta pesa nzuri

Watanzania changamkeni Kilimo cha Nyoka, kinaleta pesa nzuri

Jichanganye uone..we unafikiri unafuga kama kware..?? ..Ili uianzishe lazima uwe na mtaji mzuri kwa ajili ya mazingira salama kwako..bila ivo ukifuga kienyeji hakikisha una majeneza pembeni
 
Ama kweli, mafanikio sio mchezo, nafuu hii biashara kuliko mafanikio ya kishirikina ya kuuwa watu.
 
KILIMO CHA NYOKA

Achana na Matikiti, Kuku, Vitunguu, au Mayai ya Kwale.
Hili sasa ndio Suluhisho.

Kilimo cha Nyoka

Fikiria uwe na Cobra 10.
Cobra mmoja anataga mayai 60 Kwa mwezi anatotoa.
60 mara kumi ni 600.
600 x 12= 7200

Kwa hiyo kwa mwaka unakua na Cobra 7200

Cobra mmoja anatoa gram 10 za sumu kwa siku.
Sasa inakua ni 7200x 10= 72000

Gram moja ya sumu ni
Tsh. 1,800/-

72,000 x1,880/- = 135,360,000

Hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi)

135,360,000x10 =1,353,600,000.

Hivyo kwa mwaka mmoja kwa Cobra tuu unakua na bilioni 1.4

Hapo toa Ghrama ya Panya wa kuliwa na cobra plus usafi ambayo ni kama Milioni 100.
Maana Panya nao unafuga tuu apo unawalisha Pumba

Mwaka mmoja faida yako ni Bilioni 1.3 kwa Mtaji wa Cobra kumi tuu.

Fuga Cobra utakuja kunishukuru. Nimeikuta Sehemu nikasema niwashirikishe.
Ingawa mtaona ngumu lakini ni Mradi wa kutengeneza Fedha.
Kazi kwenu.

View attachment 3022728
Cobra 1 hatoi gram 10 Kwa siku.

Thamani ya hiyo Venom sio T sh 1,800
 
TAWA watakubali raia kufuga nyoka hao? Kwanza cobra ni nyoka jeuri sana
 
Kuna yeyote anaye wafuga hao mende Tanzania? Nataka nikapate darasa niingie flot
Kilimo cha kwenye makaratasi safi sana. Kwanza ni lazima uwe na antidote ya hiyo sumu ya Cobra vinginevyo kifo kitakuwa ni deile.

Kilimo cha mende hasa yale makubwa yanayoruka kinalipa zaidi maana ni US $56 kwa nusu kilo. Na ukiweza kuyasafirisha mwenyewe kwenda China aisee utapiga hela mpaka ushangae.
 
Dactari mzizi mkavu habari za masiku .. hichi kilimo wewe unakifanya nataka nije kwenye shamba darasa
 
Kakita viumbe naogopa namba moja ni nyoka, na nina shukuru mpaka sasa sijawahi kutana wala kuona mubashara nyoka kubwa (kama kwenye picha hapo) zaidi ya kuona kwenye picha ama televisheni. Nimeona mubashara vi nyoka vidogo vidogo tu, hebu fikiria unakutana na joka kama hilo!
800px-12_-_The_Mystical_King_Cobra_and_Coffee_Forests.jpeg
 
Kwa hiyo kwa mwaka unakua na Cobra 7200

Cobra mmoja anatoa gram 10 za sumu kwa siku.
Sasa inakua ni 7200x 10= 72000

Gram moja ya sumu ni
Tsh. 1,800/-

72,000 x1,880/- = 135,360,000

Hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi)

135,360,000x10 =1,353,600,000.

Hivyo kwa mwaka mmoja kwa Cobra tuu unakua na bilioni 1.4
Miezi 10 wapi na kule 7200 IPO ndani ya Miezi 12 Mzee hesabu hizi za kwenye Makaratasi tu unakosea ukipewa Cobra Muda huu si utakua tayari ushachezea Meno
 
Kakita viumbe naogopa namba moja ni nyoka, na nina shukuru mpaka sasa sijawahi kutana wala kuona mubashara nyoka kubwa (kama kwenye picha hapo) zaidi ya kuona kwenye picha ama televisheni. Nimeona mubashara vi nyoka vidogo vidogo tu, hebu fikiria unakutana na joka kama hilo! View attachment 3022772
Mimi nilisha wahi kummaliza ulikuwa unakutana naye juu kwenye mti wa muenbe ila alikuwa mfupi kidogo
 
Back
Top Bottom