Watanzania changamkeni Kilimo cha Nyoka, kinaleta pesa nzuri

Watanzania changamkeni Kilimo cha Nyoka, kinaleta pesa nzuri

KILIMO CHA NYOKA

Achana na Matikiti, Kuku, Vitunguu, au Mayai ya Kwale.
Hili sasa ndio Suluhisho.

Kilimo cha Nyoka

Fikiria uwe na Cobra 10.
Cobra mmoja anataga mayai 60 Kwa mwezi anatotoa.
60 mara kumi ni 600.
600 x 12= 7200

Kwa hiyo kwa mwaka unakua na Cobra 7200

Cobra mmoja anatoa gram 10 za sumu kwa siku.
Sasa inakua ni 7200x 10= 72000

Gram moja ya sumu ni
Tsh. 1,800/-

72,000 x1,880/- = 135,360,000

Hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi)

135,360,000x10 =1,353,600,000.

Hivyo kwa mwaka mmoja kwa Cobra tuu unakua na bilioni 1.4

Hapo toa Ghrama ya Panya wa kuliwa na cobra plus usafi ambayo ni kama Milioni 100.
Maana Panya nao unafuga tuu apo unawalisha Pumba

Mwaka mmoja faida yako ni Bilioni 1.3 kwa Mtaji wa Cobra kumi tuu.

Fuga Cobra utakuja kunishukuru. Nimeikuta Sehemu nikasema niwashirikishe.
Ingawa mtaona ngumu lakini ni Mradi wa kutengeneza Fedha.
Kazi kwenu.

View attachment 3022728
Wewe unao wangapi hao cobra mkuu?Kiongozi ni muonesha njia.Tena njia njema si njia tu.
 
Cobra Ndiyo unampiga mawe tu zamani 1968 Kijijini tulikuwa tunaishi nao, zamani Kijijini kukutana na joka ilikuwa ni kawaida tu
1968 Cobra Kijiji gani HICHO tusogelee hio fursa mnapiga mawe Cobra wakati ni fursa na mtaji kabisa huo?
 
Motivation speakers wanakuelezea kitu kirahisi sana
Ukianza tu hicho kilimo unakuta nyoka anakung'ata unakufa
 
Kwenye chakula mlikua mnatumia mafuta ya nini?
Kwa nadra sana tulikuwa tunatumia mafuta ya nyama ya ng'ombe ambayo yalikuwa yananing'inizwa chini ya dali chini yake jiko la mafiga matatu mafuta hayo yaliyo kaushwa Kwa moshi wa Kuni unakata kipande kidogo unatumbukiza kwenye mboga za majani unakamulia na nyanya vinatokota pamoja unakula na ugali yaani raha tupu, kweli maisha ni safari ndefu hadi naweza tema ngeli? duu ila swali lako limenikumbusha tulivyo ishi zamani, no stress
 
Kwa nadra sana tulikuwa tunatumia mafuta ya nyama ya ng'ombe ambayo yalikuwa yamening'inizwa juu ya Dali chini yake jiko la mafiga matatu mafuta hayo yaliyo kaushwa Kwa moshi wa Kuni unakataa kipande kidogo unatumbukiza kwenye mboga za majani anakamulia na nyanya vinatokota pamoja unakula na ugali yaani raha tupu, kweli maisha ni safari ndefu hadi naweza tema ngeli? duu ila swali lako limenikumbusha tulivyo ishi zamani no stress
Unazungumzia yale mafuta mafuta ya nyama ya Ng'ombe na je vipi hamkuwahi kutumia mafuta ya kitimoto au teknolojia hio ilikua bado?
 
Kwa nadra sana tulikuwa tunatumia mafuta ya nyama ya ng'ombe ambayo yalikuwa yananing'inizwa chini ya dali chini yake jiko la mafiga matatu mafuta hayo yaliyo kaushwa Kwa moshi wa Kuni unakata kipande kidogo unatumbukiza kwenye mboga za majani unakamulia na nyanya vinatokota pamoja unakula na ugali yaani raha tupu, kweli maisha ni safari ndefu hadi naweza tema ngeli? duu ila swali lako limenikumbusha tulivyo ishi zamani, no stress
Kwahio hayo maisha we ndio uliyapenda?,mbona Kama hayakuwa mazur
 
Kwahio hayo maisha we ndio uliyapenda?,mbona Kama hayakuwa mazur
Kwa wakati ule yalikuwa mazuri kuoga tulikuwa tunaoga mtoni Tena wengine bila sabuni kulikuwa na miti maalumu Tena karibu na mto japo nadhani nguo nyeupe zilikuwa hazitakati na kufua pia halafu unatembea peku ndala unavaa unapotaka kwenda kulala unaosha miguu hapo nje unavaa ndala, kuhusu mtoni, ukifika hapo mtoni unapiga hodi au nguo zako unaziacha juu mtu akiziona anajua kuna watu/mtu, no complication
 
🤔 Mkoa gani huo,mlikuwa wastarabu ivyo?
 
Kifutu sio
Chatu ndo kifutu?
Chatu ila kulingana na picha imebidi niweke hivyo maana kifutu n mdg mdg hana uwezo wa kumeza ila chatu ana meza na mkia wake umegawanyika mara mbil hv kama ana vidole viwil mkian
 
KILIMO CHA NYOKA

Achana na Matikiti, Kuku, Vitunguu, au Mayai ya Kwale.
Hili sasa ndio Suluhisho.

Kilimo cha Nyoka

Fikiria uwe na Cobra 10.
Cobra mmoja anataga mayai 60 Kwa mwezi anatotoa.
60 mara kumi ni 600.
600 x 12= 7200

Kwa hiyo kwa mwaka unakua na Cobra 7200

Cobra mmoja anatoa gram 10 za sumu kwa siku.
Sasa inakua ni 7200x 10= 72000

Gram moja ya sumu ni
Tsh. 1,800/-

72,000 x1,880/- = 135,360,000

Hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi)

135,360,000x10 =1,353,600,000.

Hivyo kwa mwaka mmoja kwa Cobra tuu unakua na bilioni 1.4

Hapo toa Ghrama ya Panya wa kuliwa na cobra plus usafi ambayo ni kama Milioni 100.
Maana Panya nao unafuga tuu apo unawalisha Pumba

Mwaka mmoja faida yako ni Bilioni 1.3 kwa Mtaji wa Cobra kumi tuu.

Fuga Cobra utakuja kunishukuru. Nimeikuta Sehemu nikasema niwashirikishe.
Ingawa mtaona ngumu lakini ni Mradi wa kutengeneza Fedha.
Kazi kwenu.

1. Hatuna ujuzi wa kutosha 2. Mitaji yetu midogo mno unajua midogo 3. Kila jamii inamitazamo yake 4.. Mimi nina uwezo wa kuita nyoka yeyote na kutibu mtu aliyegongwa na nyoka
 
Back
Top Bottom