Watanzania changamkeni Kilimo cha Nyoka, kinaleta pesa nzuri

Jichanganye uone..we unafikiri unafuga kama kware..?? ..Ili uianzishe lazima uwe na mtaji mzuri kwa ajili ya mazingira salama kwako..bila ivo ukifuga kienyeji hakikisha una majeneza pembeni
 
Ama kweli, mafanikio sio mchezo, nafuu hii biashara kuliko mafanikio ya kishirikina ya kuuwa watu.
 
Cobra 1 hatoi gram 10 Kwa siku.

Thamani ya hiyo Venom sio T sh 1,800
 
TAWA watakubali raia kufuga nyoka hao? Kwanza cobra ni nyoka jeuri sana
 
Kuna yeyote anaye wafuga hao mende Tanzania? Nataka nikapate darasa niingie flot
 
Dactari mzizi mkavu habari za masiku .. hichi kilimo wewe unakifanya nataka nije kwenye shamba darasa
 
Kakita viumbe naogopa namba moja ni nyoka, na nina shukuru mpaka sasa sijawahi kutana wala kuona mubashara nyoka kubwa (kama kwenye picha hapo) zaidi ya kuona kwenye picha ama televisheni. Nimeona mubashara vi nyoka vidogo vidogo tu, hebu fikiria unakutana na joka kama hilo!
 
Miezi 10 wapi na kule 7200 IPO ndani ya Miezi 12 Mzee hesabu hizi za kwenye Makaratasi tu unakosea ukipewa Cobra Muda huu si utakua tayari ushachezea Meno
 
Mimi nilisha wahi kummaliza ulikuwa unakutana naye juu kwenye mti wa muenbe ila alikuwa mfupi kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…