Watanzania changamkeni Kilimo cha Nyoka, kinaleta pesa nzuri

Wewe unao wangapi hao cobra mkuu?Kiongozi ni muonesha njia.Tena njia njema si njia tu.
 
Cobra Ndiyo unampiga mawe tu zamani 1968 Kijijini tulikuwa tunaishi nao, zamani Kijijini kukutana na joka ilikuwa ni kawaida tu
1968 Cobra Kijiji gani HICHO tusogelee hio fursa mnapiga mawe Cobra wakati ni fursa na mtaji kabisa huo?
 
1968 zamani sana kwasasa siyo pori Tena nyoka hakuna tena zama hizo, (enzi hizo), kwenye chakula tulikuwa hatutumii mafuta ya kula
Kwenye chakula mlikua mnatumia mafuta ya nini?
 
Motivation speakers wanakuelezea kitu kirahisi sana
Ukianza tu hicho kilimo unakuta nyoka anakung'ata unakufa
 
Kwenye chakula mlikua mnatumia mafuta ya nini?
Kwa nadra sana tulikuwa tunatumia mafuta ya nyama ya ng'ombe ambayo yalikuwa yananing'inizwa chini ya dali chini yake jiko la mafiga matatu mafuta hayo yaliyo kaushwa Kwa moshi wa Kuni unakata kipande kidogo unatumbukiza kwenye mboga za majani unakamulia na nyanya vinatokota pamoja unakula na ugali yaani raha tupu, kweli maisha ni safari ndefu hadi naweza tema ngeli? duu ila swali lako limenikumbusha tulivyo ishi zamani, no stress
 
Unazungumzia yale mafuta mafuta ya nyama ya Ng'ombe na je vipi hamkuwahi kutumia mafuta ya kitimoto au teknolojia hio ilikua bado?
 
Kwahio hayo maisha we ndio uliyapenda?,mbona Kama hayakuwa mazur
 
Kwahio hayo maisha we ndio uliyapenda?,mbona Kama hayakuwa mazur
Kwa wakati ule yalikuwa mazuri kuoga tulikuwa tunaoga mtoni Tena wengine bila sabuni kulikuwa na miti maalumu Tena karibu na mto japo nadhani nguo nyeupe zilikuwa hazitakati na kufua pia halafu unatembea peku ndala unavaa unapotaka kwenda kulala unaosha miguu hapo nje unavaa ndala, kuhusu mtoni, ukifika hapo mtoni unapiga hodi au nguo zako unaziacha juu mtu akiziona anajua kuna watu/mtu, no complication
 
🤔 Mkoa gani huo,mlikuwa wastarabu ivyo?
 
Kifutu sio
Chatu ndo kifutu?
Chatu ila kulingana na picha imebidi niweke hivyo maana kifutu n mdg mdg hana uwezo wa kumeza ila chatu ana meza na mkia wake umegawanyika mara mbil hv kama ana vidole viwil mkian
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…