Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.

The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and 13 in Africa by a new Webometrics Ranking.

Makerere University in Uganda was ranked 14th in Africa right behind UoN in East Africa, with Egerton University in Kenya ranking 37th in Africa and third in the region.

Eight Kenyan universities made it to the top 200 list in the new ranking of universities in Africa released this week. Kenyatta University is third in Kenya and 40 in Africa.

Moi University and Jomo Kenyatta University of Science and Agriculture (JKUAT) are position four and five in the country respectively. In the continent, they are ranked number 50 and 51 respectively.

Technical University of Kenya (TUK) was position 147 in Africa and sixth in Kenya. Maseno University follows closely at position seven in the country and 157 in the country. Strathmore took position eight in the country being the only private university in the top 200.

Masinde Muliro University of Science and Technology ranked number 218 in Africa and ninth in Kenya as University of Embu 229 in Africa summing up the top 10 list in Kenya

Unatuletea mambo ya ma university wakati nchi inarudi LDC [emoji117][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nyie hamtuambii chochote na Hao waganda wenu. Elimu yenu gani? Ipi?
 
Alshabaab wanawachapa makonde daily mnasema na nyie mnajeshi

Mnatia huruma bro, yaani kukataliwa hadi na elimu, hamskiki kabisa, mumeshindwa hata viinchi vidogo vidogo, ila sishangai maana nchi yote mpaka waliohitimu wote chali kwa kauli za rais, akisema hakuna corona hakuna UKIMWI hakuna Maralia yaani nyote mnaamini na kutetea na kusema kweli haipo. Elimu imewapiga chenga nchi yote.

Tutazidi kuwafunika kwenye kila kitu, kiuchumi, kijeshi (yeh kijeshi), kitaalam na vyote......hehehe napata raha sana.

Elimu yenu hii hapa Meya Manispaa ya Moshi awataka wajumbe waliovaa barakoa kuzivua
 
Mnatia huruma bro, yaani kukataliwa hadi na elimu, hamskiki kabisa, mumeshindwa hata viinchi vidogo vidogo, ila sishangai maana nchi yote mpaka waliohitimu wote chali kwa kauli za rais, akisema hakuna corona hakuna UKIMWI hakuna Maralia yaani nyote mnaamini na kutetea na kusema kweli haipo. Elimu imewapiga chenga nchi yote.
Tutazidi kuwafunika kwenye kila kitu, kiuchumi, kijeshi (yeh kijeshi), kitaalam na vyote......hehehe napata raha sana.
Umasikini unashukiwa kuliko ujinga.

Utajiri unapendwa kuliko usomi. Hii ni kanuni inayoapply dunia nzima
 
Umasikini unaxhukiwa kuliko ujinga.
Utajiri unapendwa kuliko usomi. Hii ni kanuni inayoapply dunia nzima

Sasa bora mngekua hata na moja ya hizo, mkose elimu ila muwe tajiri, au mkose utajiri ila muelimike, mumenyimwa vyote.

Utajiri mnao kwenye raslimali ila kwa kukosa elimu mnaliwa kupita maelezo, tangu niskie mnazalisha gesi huko Mtwara ni kitambo, ila inapita mazima mazima na kwenda kunufaisha wenye elimu mabeberu.

Kwenu huko shamba la bibi niliona mnanyofolewa hadi vinyonga, yaani wenye elimu wanajichukulia kila kitu. Tatizo lenu wazembe wa kusoma, mkataba ukiandikwa kurasa 1,000 na wenye kingereza chenye misamiati, mnaomba wapi pakutia saini tu basi.
 
Sasa bora mngekua hata na moja ya hizo, mkose elimu ila muwe tajiri, au mkose utajiri ila muelimike....mumenyimwa vyote...
Utajiri mnao kwenye raslimali ila kwa kukosa elimu mnaliwa kupita maelezo, tangu niskie mnazalisha gesi huko Mtwara ni kitambo, ila inapita mazima mazima na kwenda kunufaisha wenye elimu mabeberu.
Kwenu huko shamba la bibi niliona mnanyofolewa hadi vinyonga, yaani wenye elimu wanajichukulia kila kitu.... tatizo lenu wazembe wa kusoma, mkataba ukiandikwa kurasa 1,000 na wenye kingereza chenye misamiati, mnaomba wapi pakutia saini tu basi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom