Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Hii hapa 😂 😂 😂Nyie hamtuambii chochote na Hao waganda wenu
Elimu yenu gani ?Ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa 😂 😂 😂Nyie hamtuambii chochote na Hao waganda wenu
Elimu yenu gani ?Ipi
Watz wanaongoza kwenye chuo cha ushilawaduHizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and 13 in Africa by a new Webometrics Ranking.
Makerere University in Uganda was ranked 14th in Africa right behind UoN in East Africa, with Egerton University in Kenya ranking 37th in Africa and third in the region.
Eight Kenyan universities made it to the top 200 list in the new ranking of universities in Africa released this week. Kenyatta University is third in Kenya and 40 in Africa.
Moi University and Jomo Kenyatta University of Science and Agriculture (JKUAT) are position four and five in the country respectively. In the continent, they are ranked number 50 and 51 respectively.
Technical University of Kenya (TUK) was position 147 in Africa and sixth in Kenya. Maseno University follows closely at position seven in the country and 157 in the country. Strathmore took position eight in the country being the only private university in the top 200.
Masinde Muliro University of Science and Technology ranked number 218 in Africa and ninth in Kenya as University of Embu 229 in Africa summing up the top 10 list in Kenya
![]()
University of Nairobi Ranked Top University in Kenya
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and number 13 in Africa by the new Webometrics Ranking.www.kenyans.co.ke
Mkataba mkopo wa China unawatokea puani, ila unapita vidole juu ukisema wengine. Huyo wa vinyonga ni wizi tu, ni sawa na vile tunakamata Wakenya wanaoiba miti ya kuchongea vinyago huko au Tanga.Sasa bora mngekua hata na moja ya hizo, mkose elimu ila muwe tajiri, au mkose utajiri ila muelimike....mumenyimwa vyote...
Utajiri mnao kwenye raslimali ila kwa kukosa elimu mnaliwa kupita maelezo, tangu niskie mnazalisha gesi huko Mtwara ni kitambo, ila inapita mazima mazima na kwenda kunufaisha wenye elimu mabeberu.
Kwenu huko shamba la bibi niliona mnanyofolewa hadi vinyonga, yaani wenye elimu wanajichukulia kila kitu.... tatizo lenu wazembe wa kusoma, mkataba ukiandikwa kurasa 1,000 na wenye kingereza chenye misamiati, mnaomba wapi pakutia saini tu basi.
Hawa ni mwendelezo wa ujinga tunaopambana nao kwa sasa, kiingereza ni lugha kama ilivyo kimasai, kimakonde au kijaluo, hivyo ni ujinga uliokithiri kuamini ubora wa elimu unapimwa kwa ufasaha wa kiingereza.Hii hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1689578
Ni wapi kiingereza kimetajwa kwenye hilo bango?Hawa ni mwendelezo wa ujinga tunaopambana nao kwa sasa, kiingereza ni lugha kama ilivyo kimasai, kimakonde au kijaluo, hivyo ni ujinga uliokithiri kuamini ubora wa elimu unapimwa kwa ufasaha wa kiingereza.
Kwa hiyo unasemaje wewe nyang'au?! Mmeshamalizana na Al shabab? Nasikia wanakusanya Kodi katika baadhi ya maeneo huko kwenu...Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and 13 in Africa by a new Webometrics Ranking.
Makerere University in Uganda was ranked 14th in Africa right behind UoN in East Africa, with Egerton University in Kenya ranking 37th in Africa and third in the region.
Eight Kenyan universities made it to the top 200 list in the new ranking of universities in Africa released this week. Kenyatta University is third in Kenya and 40 in Africa.
Moi University and Jomo Kenyatta University of Science and Agriculture (JKUAT) are position four and five in the country respectively. In the continent, they are ranked number 50 and 51 respectively.
Technical University of Kenya (TUK) was position 147 in Africa and sixth in Kenya. Maseno University follows closely at position seven in the country and 157 in the country. Strathmore took position eight in the country being the only private university in the top 200.
Masinde Muliro University of Science and Technology ranked number 218 in Africa and ninth in Kenya as University of Embu 229 in Africa summing up the top 10 list in Kenya
![]()
University of Nairobi Ranked Top University in Kenya
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and number 13 in Africa by the new Webometrics Ranking.www.kenyans.co.ke
Mkataba mkopo wa China unawatokea puani, ila unapita vidole juu ukisema wengine. Huyo wa vinyonga ni wizi tu, ni sawa na vile tunakamata Wakenya wanaoiba miti ya kuchongea vinyago huko au Tanga.
Pole sana, ndo maisha hayo[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji3545][emoji3545]Hata kwa jinsi ulivyoandika hapa, it shows why Tanzanian universities performed dismally
Siku hizi tunafukuza walimu wote kutoka Kenya nadhani hana habari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawa ni mwendelezo wa ujinga tunaopambana nao kwa sasa, kiingereza ni lugha kama ilivyo kimasai, kimakonde au kijaluo, hivyo ni ujinga uliokithiri kuamini ubora wa elimu unapimwa kwa ufasaha wa kiingereza.
Warudi wakalime mirungi huko kajiado na machakos waache kuzunguka mijini na suti na miwani kubwa kubwa kumbe ni walimu wa grammar.Siku hizi tunafukuza walimu wote kutoka Kenya nadhani hana habari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukweli ni kwamba wakenya kwa kiingereza mko vizuri zaidi ya Tanzania. Hii haitokani na kuwa mna akili zaidi bali ni colonial legacy tu, sisi tokea enzi za mwalimu tulitaka lugha ya kwetu ambayo itatuunganisha pamoja. Na hapa niweke wazi, siyo kwamba Kenya ni ya kipekee hapana, kuna nchi nyingi ambazo ziliendelea kutoa kipaumbele kwa lugha ya Mkoloni kama Uganda, Ghana, etc. Na ukitaka kiingereza bora kabisa (pure English) ambacho hakijaathiriwa na lugha za asili nenda Malawi, Zimbabwe na Zambia. Pamoja na kiingereza kizuri, nchi tajwa hapo juu ndio zinaongoza kwa umaskini, ndio kusema hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya lugha na maendeleo. Ukiona mtu anajisifu na lugha, jua umekutana na mfungwa anayehitaji intellectual salvation.Unatutokea puani lini wakati tunateleza kwa reli ya SGR kilomita 600km, hiyo ni mara tatu ya kale kasafu kenu ka 200km kamekwamia huko maporini, nyie elimu imewashinda, umaskini umetamalaki na hamjui English.....hehehe watu wa ze ze ze...huwa napata raha sana nkiwakumbushia hili.
Hehehehee hawa huwa tunawanyoosha sn kwenye battle zetu huku [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakenya kwa kujifanya wana elimu utadhani wameanza kutengeneza mabomu ya nuclear or something..
Upumbavu mtupu.
Hawa majuzi tu wameshindwa kupambana na nzige, ndio wanasema wana wataalamu. Hawa ni midomo tu.Wakenya kwa kujifanya wana elimu utadhani wameanza kutengeneza mabomu ya nuclear or something..
Upumbavu mtupu.
Nilikuwa ninamjibu niliyemnukuu.Ni wapi kiingereza kimetajwa kwenye hilo bango?
Uyo meya story yake inachekesha alafu alitoa 7bu ya kipuuzi sana kwamba mbona yeye hajavaa barakoa....Mimi ningemwambia Kama hukuona umuhimu Wa barakoa Mimi nimeona umuhimu wake...Chagua 1 nikupishe na mkutano wako au uendelee Uache kuniwazaMnatia huruma bro, yaani kukataliwa hadi na elimu, hamskiki kabisa, mumeshindwa hata viinchi vidogo vidogo, ila sishangai maana nchi yote mpaka waliohitimu wote chali kwa kauli za rais, akisema hakuna corona hakuna UKIMWI hakuna Maralia yaani nyote mnaamini na kutetea na kusema kweli haipo. Elimu imewapiga chenga nchi yote.
Tutazidi kuwafunika kwenye kila kitu, kiuchumi, kijeshi (yeh kijeshi), kitaalam na vyote......hehehe napata raha sana.
Elimu yenu hii hapa Meya Manispaa ya Moshi awataka wajumbe waliovaa barakoa kuzivua