Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

Acha mafeelings jombaa, thibitisha kwamba mna elimu bora zaidi ya Kenya. Ukitumia angalau akili zako za darasa la saba, sio hizi akili za vijiweni. (20Marks)
1.Uchumi wetu unaendelea kukua wenu umesinyaa
2.Tumeweza kuthubiti Rushwa kwa asilimia kubwa Nyie bado Rushwa ni kama kawa
3.Tumejaribu na tumeweza kutekeleza miradi mikubwa bila ya kutegemea mikopo ya nje! !

Haya mambo anafanyuika kwa kutumia Elimu bro sio nguvu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kwa haraka haraka nimepitia hiyo website katika top 100
1- Kenya -vyuo 5
2- Tanzania -vyuo 3
3- Uganda -vyuo 2
4- Rwanda- chuo 1

vyuo vya Tanzania vilivyoingia ni
1- Jalalani
2- Sokoine
3- Muhimbili

hizi kelele zote sijui zinatoka
Achana na hao kobe

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hili nalo halina ubishi, sio kwa sampuli yao ile ya maprofesa ndomboloo, sijui kina Palamagamba. Wasomi lakini wakifungua midomo yao hata drop out wa darasa la kwanza anabaki mdomo wazi. Bila kumsahau yule mwanakemia wao na ile PhD yake ya kimagumashi.
Nadhani wajinga zaidi na wenye elimu ndogo ni hawa wakenya wenzako wanaomsifia hapo profesa kutoka jalalani university
 
Tatizo hamjui English, yaani kingereza huwa kinawatesa sana.....hehehehe
Hauhitaji Kiingereza kujua kwamba hizi ni slums za Kibera...
IMG_20210130_121229_523.JPG
 
Kujua kingereza raha sana yaani kinakupa kujiamini balaa...mwanzoni siku najua umuhimu wa kingereza mpaka nilipokuja Tanzania na kuona kinavyowatesa huko, mnahangaika sana halafu kikiwashina mnasema ni cha mkoloni....hehehe
Meanwhile, matunda ya Kiingereza..... hahahaaaaaa
IMG_20210130_115514_091.JPG
 
Povu la watz buana! [emoji38] Hadi dakika hii sijaona mtz yeyote akijaribu kwa uzalendo kuthibitisha kwamba Tz ina elimu bora zaidi ya Kenya. Hata kwa zile domo domo zao tu za kawaida. Maanake mleta mada ametumia ripoti ambayo ina msingi wa utafiti wa kisayansi. Point made MK254, hata wakifukia vichwa vyao mchangani. Tayari uzi wenyewe huu unaonesha wazi makali ya madhara ya elimu duni. 😎
Hebu ona elimu bora ya Kenya....
IMG_20210130_121250_189.JPG
 
Nadhani wajinga zaidi na wenye elimu ndogo ni hawa wakenya wenzako wanaomsifia hapo profesa kutoka jalalani university
Liprofesa lilitema madini mpaka manyang'au yakabaki yanapiga makofi huku yameduwaa.... haha

The level of that Kiswahili was pure gold!

Minyang'au ilipagawa venye profesa alivyoipora na kuitawala "show" nzima ya BBI.
 
Acha mafeelings jombaa, thibitisha kwamba mna elimu bora zaidi ya Kenya. Ukitumia angalau akili zako za darasa la saba, sio hizi akili za vijiweni. (20Marks)
Akili kubwa hizi hapa [emoji116][emoji116]

1. Kujenga miradi mikubwa mikubwa kwa pesa za ndani mfano jnhp power plant $3bn, Electric SGR (nyie hata km5 ya road mmeenda kukopa France [emoji3][emoji3][emoji3][emoji90][emoji90])

2. Kusambaza maji safi na salama kwa wananchi mijini na vijijini mfano mradi wa kutoa maji ziwa Victoria ambapo nyie ziwa mnalo lkn mnaliangalia cz hamna pesa (hapo inaonesha jinsi gani elimu ilivyoshindwa kumsaidia mkenya)

3. Kupunguza ufisadi nchini kwa asilimia kubwa.

Hayo ni machache tu yanayoonesha jinsi gani elimu imemsaidia mTz, nyie kila kitu ni wizi, migogoro, majungu, kulalamika na chuki dhidi ya majirani wanaoonesha kuwapita katika kila idara.

Wallahi Wakenya ni mavi kabisa.
 
1.Uchumi wetu unaendelea kukua wenu umesinyaa
2.Tumeweza kuthubiti Rushwa kwa asilimia kubwa Nyie bado Rushwa ni kama kawa
3.Tumejaribu na tumeweza kutekeleza miradi mikubwa bila ya kutegemea mikopo ya nje! !

Haya mambo anafanyuika kwa kutumia Elimu bro sio nguvu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Naona umeamua kutokelezea na akili za makada was sisiemu. Bure kabisa, eti uchumi wa Kenya haukui? Tena Kenya inaenda kuwapiga double kwenye GDP. Miradi mmetekeleza mingapi hadi ikaisha ukilinganisha na Kenya? Umesahau zile 1.5T alizotafuna jiwe? Hebu rudi Lumumba ukaimbe sisiemu mbere kwa mbere ukimsifia Jiwe kwa miradi yake mikubwa ya maendeleo kule jamhuri mpya ya Chato.
 
Hii ndio inaitwa lack of education, illetracy plus primitivity.Watanzania mpende kusoma kidogo angalau kabla ya kuropoka,,kubishana na wajinga ni kazi mno kweIi
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Screenshot_20210129-154017.jpg
 
Naona umeamua kutokelezea na akili za makada was sisiemu. Bure kabisa, eti uchumi wa Kenya haukui? Tena Kenya inaenda kuwapiga double kwenye GDP. Miradi mmetekeleza mingapi hadi ikaisha ukilinganisha na Kenya? Umesahau zile 1.5T alizotafuna jiwe? Hebu rudi Lumumba ukaimbe sisiemu mbere kwa mbere ukimsifia Jiwe kwa miradi yake mikubwa ya maendeleo kule jamhuri mpya ya Chato.
Naona umeanza kujam hehe pangua izo hoja Acha kupanua miguu
 
Kingereza raha bana acha hasira, nilishakuambia utafute mtu akupe darasa...
Hicho kizungu nilishakisoma zamani sana wakati wewe bado unaokota punje za githeri hapo Kibera.

Ndio maana wala sibabaiki nacho!....

Huko Kenya nasikia hata machokoraa wanaongea kizungu huku wakijipa matumaini kwamba wao ni wasomi... Hahahahaha...
 
Hawaitaki hii report ila ukiwaambia wakanushe kwa facts wanashindwa, but msijali tushawazoea huwa wanakataa mwanzoni zen mwishowe wanakubali, si mnakumbuka issue ya millionaires? Mwanzoni hawakuamini kama Tz ndio nchi yenye millionaires na billionaire wengi EA, yn ukichukua idadi ya millionaires wa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi hawafikii Tz.

Zen bado hawataki kuamini kwamba Tz leads the region [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom