Kiingereza wanachozungumza hawa nyang'au ni second hand (makapi ya kizungu).
Lafudhi yenyewe ngumu kama kokoto! Sijui lafudhi ya Kikuyu ile? Hahahaaaa....
Kiswahili hawajui. Kizungu hawajui.... ni tafrani.
Huwa nawasikia wanazungumza ile takataka inaitwa sijui sheng... ni kichefuchefu.
Huyu zumbukuku muokota makopo wa kibera
MK254 amejifunza Kiswahili humu Jamiiforums— tena kwa mbinde mno!
Mara ya kwanza alikuja na Kiswahili kichefuchefu sana. Kwa sasa anaandika huku kashika kamusi anakopi na kupesti hahahaaa....