tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Nyie mnajua English iyo reli imejengwa kwa mkopo kutoka China inasimamiwa na wachina kwa kila kitu,Kwa Mimi huwezi nieleza unaakili nikauelewa katika jamii yenye mazombi ukanda Huu nyie mnaongoza! !Unatutokea puani lini wakati tunateleza kwa reli ya SGR kilomita 600km, hiyo ni mara tatu ya kale kasafu kenu ka 200km kamekwamia huko maporini, nyie elimu imewashinda, umaskini umetamalaki na hamjui English.....hehehe watu wa ze ze ze...huwa napata raha sana nkiwakumbushia hili.
Ni kweli SGR haijakamilika lakini usipindishe fact tunajenga zaidi ya 700km Kwa sasa na ni juzi tumeshaajiri mchina ajenge 341km zingine Kama ulipita shule mpaka sasa tunajenga zaidi ya 1000km!!
Uzuri wetu mkianza sisi hua tunamaliza,Mkisafisha sisi hua tunachafua,na mkifunika sisi hua tunafunua cc sauti sol