Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

Walihimiza kwa maandamano ya Magufuli must go? Au mie sikuwepo tz hii
Hukuwepo au ulikuwa hujaanza kuwa chawa wewe unayejiita mfuasi wa Yesu,shida huna tofauti na huyo bibi mpumbavu anayedhani watu wanapinga upumbavu wake kwa sababu ya dini yake,tayari umeamini ujinga wake...na ndio maana umeweka hilo neno Yesu ukitaka kuaminisha watu humu kwamba wewe humtetei kwa sababu ya dini yake..tayari propaganda ya udini imekuingia
 
Nonsense
 
Kuna baadhi ya moderators nikana nao wamehongwa kwanini mada zote zinazohusu upande mwingine zinafutwa bila sababu
 
Wewe ni matako hakuna mtoto wa kumdanganya , nipo macho serikali zote tangu serikali ya nyerere ,kawadanganye waislam wenzio msikitini kwenu pale
 
Je unawezakuthibitisha kuwa Watanzania hatujui tunachotaka?
 
Mkuu subiri matusi sasa , humu ndani ukweli hautakiwi. Unatakiwa uzungumzie kuchoma nchi, Serikali ipinduliwe kama yanayotokea yameanza awamu hii.
Shetani rudi nyuma yetu...!!

Wewe na mleta mada ni mashetani, msiostahili ushirika wowote na wana wa Adamu...

Unageuza uongo kuwa ukweli halafu unatuambia tunachukia ukweli..?????
 
Nyie watu wa madrasa huwa mnajulikana tu kwa hoja zenu mfu, maana uwezo wenu wa kufikiri huwa uko limited yaani una kikomo, ndio maana hata hoja zenu za kumtetea huyu shetani wa kizanzibari huwa ni zile zile, naona umeona umtaje na Yesu hili kutupoteza maboya tujue wewe ni mkristo, acha ujinga.

Kikubwa mnachofanyaga nyie huwa ni kuhalalisha ushetani na maovu ya bibi yenu samiya kwa kutaja maovu ya Magufuli, kitu ambacho kwa yeyote mwenye akili timamu ni upumbavu mtupu.

Na utetezi huu wa kijinga wa kuhalalisha maovu kwa maovu ndio mnaingiza hiyo nadharia yenu ya udini na kutaka watu waamini mnavyotaka nyinyi eti samia anakataliwa kwa sababu ya dini yake yaani ujinga mtupu.

Kwanza wakati mnaleta hii hoja yenu mfu eti huyu shetani wa kizanzibar anachukiwa kwa sababu ya uislamu wake, mkumbuke kuwa kuna waislamu wenzake kibao tu watanganyika ambao wanamchukia mpaka basi na hawataki hata kumskia...sasa sijui huwa mnatumia grounds zipi kwenye hii hoja yenu ya udini.

Katika hali ya kawaida hatuwezi kulea muendelezo wa maovu ambayo yanagharimu maisha ya watu na kuharibu ustawi wa taifa eti kisa tu mwanzilishi wa maovu hayo hakuchukuliwa hatua stahiki hapo awali mpaka anaondoka, ni upumbavu huo.

Huyu mama ako shetani samia hakuwa na sababu za kuendeleza ushetani aliouacha Magufuli wa kuteka,kukandamiza demokrasia,kuua watu na kupora chaguzi, kwani yeye angeweza kuchagua njia ya haki na akaongoza vizuri sana kutokana na kukubalika kwake hapo awali....

...ila badala yake yeye ndio akaamua kuwa dhalimu na shetani kuliko hata huyo Magufuli mwenyewe, na mbaya zaidi akachagua kuwafurahisha kikundi cha watu wachache huku wengi akiwapuuza.

Nikukumbushe tu wakati unamuongelea Magufuli kuwa muhasisi wa haya yanayotufanya tumchukie huyo samiya wako, mbali tu na uchapa kazi wake Magufuli aliondoa kabisa matabaka na alijua kuwajali sana watanzania wa hali wa chini ambao ndio wengi kwenye mchi hii, alijua kuwawajibisha wazembe kwenye sekta zoote za uma, alikemea ufisadi na alipambana nao haswa, alijitahidi kulinda rasilimali za nchi hii. Na ndio maana wanainchi kibao walimpenda na wala hakuwa aliyekuwa na mawazo ya kumpindua...

...sasa huyu mama ako wa KUZIMU-KAZI yeye yuko kinyume kabisa na hayo niliyoyataja, shetani samia yeye mafisadi ndio marafiki zake,watumishi wazembe ndio mashabiki zake wanaompenda,rasilimali za taifa anazigawa gawa ovyo tu kiholela,upendeleo wa wazi wazi kwa wazanzibari serikalini,kukithiri kwa vitendo vya rushwa na ufisadi wa kihistoria vimetamalaki kwenye awamu hii yake...

..hadi hapo bado unasema tunaomchukia huyu bibi wa kizanzibari ni kwa sababu ya uislamu wake???

Tangu uhuru hakuna raisi ambaye aliwahi kuwafukuza wamasai kwenye aridhi yao na kisha aridhi hiyo kuwapa wageni tena waarabu, hiki kitu kinamuonesha hajali kuhusu wanainchi na yuko tayari kufanya lolote kuwafurahisha wajomba zake waarabu hata kama ni kwa kuharibu maisha ya wanainchi wake.... jambo hili Magufuli asingeweza kulifanya hata kwa bahati mbaya...

...mpaka hapa bado unasema wanaomchukia samiya ni kwa sababu ya dini yake?

Tukiachana na hayo, kila mtu anajua kilichotokea tarehe 29 mpaka tarehe 2 watanzania sio chini ya 11,000 wengi wakiwa hawana hatia waliuawa na mamluki kwa amri ya samia kwa sababu zake binafsi na kisha maiti zao zikaenda kufikiwa kama mizoga, je Magufuli amewahi kufanya kitu kama hicho???

Nauliza MAGUFULI AMEWAHI KUUA WATANZANIA ZAIDI YA 11,000 KATIKA MIAKA YAKE 6 ALIYOKALIA KITI CHA URAISI?

Hadi hapo bado unakomaa eti tunaomchukia samia na kumtaka ajiuzulu ni kwa sababu ya dini yake?

Hivi unajua kwa akili ya kawaida hili tu la mauaji ya halaiki ni sababu tosha kabisa ya kila mtu kumchukia na kumshinikiza atoke madarakani? Tutaongozwaje na raisi ambaye ameumiza familia zetu? Yaani kila tukimuona sura yake anatukumbusha jinsi ndugu zetu walivyouawa, halafu ndio tuvumilie miaka mitano...!!?

Inahitaji uwe na roho ya kishetani kumuona samia hana hatia mpaka hapo alipofikia... na of course tunajua wengi wenu mnaomtetea mkiongozwa na mashekh wenu wa BAKWATA mko kma marobot, uwezo wa kufikiri ni duni sana hamuangalii vitu kwa mapana na hata ubinadamu hamna.

Huyu Samia wenu anachukiwa na watanganyika tulio wengi kwa sababu ambazo ziko wazi na zina mashiko sana na hazina uhusiano kabisa na dini yake.

Hii hoja yenu ya udini ni ya kipumbav na hakuna mwenye akili timamu ambaye itamchota akili na kuiamini zaidi ya wafuasi wa BAKWATA na vilaza wengine wa aina yako.

Tanzania imewahi kuwa na maraisi waislamu ambao walitawala kwa miaka kumi kila mmoja, na walikosolewa kama kawaida, lakini mbona hatukuwahi kuskia mkipiga hizi kelele za udini?

Kikwete alikosolewa sana na TEC lakini mbona hatukuwaskia hao BAKWATA wakitokeza kumtetea kama ambavyo wanamtetea kwa nguvu huyu bibi wa kizanzibari kila mara?

Nakwambia tena hizi tantalila za eti samia anachukiwa kisa ni muislamu haziwezi kumuingia akilini mtu yoyote mwenye akili timamu, na pia haziwezi kuwasaidia hata kidogo kumuepusha na dhoruba linalokuja mbele.

Naona katika bandiko lako looote hujataja ushetani alioufanya kwenye MO29 kuua watu na wengine kuwazika wakiwa bado hai, yaani wewe ulichooona cha maana ni jaribio la yeye kupinduliwa tu, aisee wewe unaonekana ni shetani kuliko hata yeye.

Mwisho huyu mama ako shetani wa kizanzibari hana maisha marefu kwenye huo uraisi haramu aliyejipachika kwa kumwaga damu za watanganyika, siku sio nyingi watanganyika tutafanya sherehe kubwa ya anguko lake tena ambalo litaiathiri mpaka familia yake na nyie machawa...tuko hapa.
 
Wewe utakuwa na kinyezi kichwani badala ya ubongo nguruwe wewe.

Japo ni upuuzi kulinganisha ushetani, ila kipindi cha Magufuli tuliona waliokuwa wanatekwa ni watu ambao ni real threat kwa utawala wake tena wenye influence kubwa ya kisiasa..!!

Sasa huyu mama ako wa kizanzibari anateka mpka madogo wa tik-tok wenye umri wa miaka 18 ambao hawana impact yoyote ndio utalinganisha na utekaji wa kipindi kile?

Nakumbuka enzi za Mwendazake kwenye vijiwe vyetu tulimuongelea sana kwa mabaya tena hata maaskari wakiwa wanatuskia, lakin sasa hivi ukiwakuta watu vijiweni halafu ukaanza kuleta stori za siasa watu wanakukimbia wanakwambia "wenzako bado tunapenda kuishi" sasa ndio maisha gani hayo? Haya maisha hatukuwahi kuyaishi kwenye awamu yoyote huko nyuma, ila tunayaishi sasa kwa huyu mwanamke mwenye roho ya kinyama kuliko hata shetani.

Sasa hivi ukijirecord tu kwenye social media kuwa humtaki samia na unamuomba ajiuzulu, jua la kesho jioni unaweza usilione na ikawa ndio mazima hivyo ndugu zako wasikuone milele, ukipona sana unafunguliwa kesi ya uhaini, kesi ambazo awamu za huko nyuma tulikuwa hatuziskii kabisa.

Magufuli hakuwahi kufungia nyumba za ibada na kuteka viongozi wa kidini kitu ambacho tumekiona awamu hii... halafu bado unalinganisha?

Kwa ufupi awamu hii imetia fora kwa matukio ya kandamizi na ya kikatili kwa wanainchi, halafu wewe hapa unajaribu kumtakasa samia hoja nyepesi namna hii utafikiri wote humu tumeanza kufuatilia siasa mwakab 2021.

Kwanza unajua mauaji ya halaiki ya watu zaidi ya 11,000 aliyoyafanya Samia hili tu abaki madarakani yanafunika maovu yote ya magufuli?

Hakuna ushetani na unyama ambao utakuja kuzidi ule alioufanya samia tarehe 29/October hadi 2 November.

Magufuli hakuwahi kuua maelfu ya watu kwa mara siku nne tu na kisha kwenda kuwazika kama mizoga na zaidi ya hapo wengine akawazika wakiwa bado hai... sidhani kama kiongozi yoyote wa nchi ambaye amewahi kuwa na roho kama hii ya shetani samia.

Unapojaribu kumtetea huyu mama ako kutumia uislamu wake wenye akili tunakushangaa sana, maana kuna waislamu wengi sana wanamchukia sasa kufuatia mauaji yale, maana ameua waislamu kibao tu ambao hawakuwa na hatia.

Hii hoja ya udini mtabaki nayo huko huko BAKWATA na hakuna mwenye akili timamu mtakayemchota akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…