Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

Ulichokisema kina ukweli 75% lkn kwa Hali ya sasa hakuna atakaekuelewa.( Hasa hapo kwenye vikundi vya utekaji, kuvuruga uchaguzi,kuminya uhuru wa habari na kujieleza n.k

Kosa lake: alitakiwa kurekebisha haraka sana mambo hayo, vikundi hivyo vilimzidi nguvu samia
Vikundi hivyo ni vyake tokea akiwa na Magufuli,yeye ndo alikuwa anamchafua Magufuli,ibilisi mkubwa huyo
 
Na hapa ndo mnazidi kukosea,huwezi kulazimisha kupendwa,Magufuli alipendwa sana na wananchi haswa wa hali ya chini,na ni kitu alichojijengea tangia akiwa waziri kwa awamu ya Mkapa,huyu mama yako huwezi mlinganisha hata kidogo na Magufuli,nadhani kwa rate ya kuchukiwa ni kubwa sana
Kuchukiwa ni suala la kawaida hata magufuli alichukiwa sana tu na alipofariki walishangilia mno, so tunachokataa ni kuhimiza maandamano ya kupindua serikali tu ila kama ni kumchukia wao waendelee tu
 
Wewe ndo huelewi unachotaka mpaka kuandika tu umetumia AI. Rubbish
 
Kuchukiwa ni suala la kawaida hata magufuli alichukiwa sana tu na alipofariki walishangilia mno, so tunachokataa ni kuhimiza maandamano ya kupindua serikali tu ila kama ni kumchukia wao waendelee tu
Kwani kwa Magufuli watu hawakutaka kuandamana mpaka jeshi wakaingizwa barabarani kufanya usafi,au wewe umeamua kumtumia Magufuli kama scapegoat maana ndo njia haitumiayo ibilisi Samia
 
*Habari wana great thinker;

Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu zifuatazo;Ufisadi,maisha ya kifahari ya watoto wao,utekaji,katiba mpya,uchaguzi huru na wa haki,kwamba anaongozwa na kikwete sio akili yake,n.k.Tena hili la kuongozwa na kikwete ndo kubwa kiasi ambacho watu humchukia sana kikwete na kumuombea mabaya(MUNGU amlinde).Tuchambue baadhi;

*Utekaji:Huu muasisi ni jpm,hilo halina ubishi,labda kama mtu ana agenda yake binafsi.Sasa kwa nini hawakutaka kumtoa jpm wakati ule?Najua hapa wanazi wa jpm watampaka mafuta mpendwa wao ila ukweli utabaki pale pale.

*Uchaguzi huru-uchaguzi kwa mara ya kwanza kuwa wa hovyo nchini ulifanyika 2020 chini ya jpm.Yeye ndiye muasisi wa uchafuzi ktk uchaguzi.Kwa nini watu hawaongelei hilo?Kwa nini ukigusia hili tu watu wanatamani wakurukie?Hii sio sawa.Kama ni madai ya kisiasa,chambua kwa kuzingatia usawa sio ukanda au u-mfumo dume au uzanzibar na utanganyika.

*Uhuru wa kitoa maoni-Ukiwa mkweli utanikubalia.Kuminywa kwa uhuru wa kujieleza muasisi ni jpm.Ukibisha itabidi uniambie,Lisu alipigwa risasi ktk awamu ili na kwa nini alipigwa risasi,Ben saanane alipotezwa na awamu ya nani na kwa kosa gani,kina Azory Gwanda,miili iliyokuwa ikiokotwa ufukweni Kila asubuhi,n.k.

*Maisha ya kifahari ya watoto wao-Mzee,mimi mwalimu,maisha ya watoto wangu hayawezi kufanana na ya mkulima mdogo.Lazima watoto wangu watakuwa na maisha classic kidogo kuliko watoto wa wale ambao kutoka kwao ndo kula yao.Nani anaujua mshahara wa raisi?Yeye ni mtumishi wa uma kama nilivyo mimi.Nikiamua mshahara wangu nimpe mmoja wa watoto wangu atanue,ni haki yangu.Kwa nini unipangie matumizi ya mshahara wangu!Mwingine anahoji Riz kuwa na sheli!Amekanusha.Kama amekanusha maana yake sio kweli.

Lakini hata kama atataka kuanzisha sheli,hashindwi.Kwa kutumia mishahara na posho zake tu,anaweza.Hapo mbali na za baba yake na mama yake.Au unadhani yeye hana haki ya kuanzisha biashara hapa nchini?Au unadhani wewe ndiye mwenye haki ya kuwa na biashara hapa nchini?Yeye sio mtanzania?Kwa nini ukiona biashara ya kiongozi au mtoto wa kiongozi inakukera?Hana ruhusa ya kutumia mshahara wake kuufanyia biashara?Kama WALIMU,manesi,maaskari,n.k wanakopa bank na kuanzisha biashara,yeye waziri,raisi,n.k wasikope kuanzisha biashara?Kwo tuache wivu wa kijinga.Tupiganie mambo ya msingi.

*Anaongozwa na Kikwete -Hili mi nalikataa kwa ushahudi kabisa.Labda kama mmesahau utawala wa awamu ya nne ulikuwaje.Tanzania tuna tatizo kidogo la democrasia.Lakini katika awamu zote,awamu ambayo ilijitahidi kuliko zote katika kudumisha misingi ya utawala bora basi ni ya nne chini ya Kikwete.Ukiondoa wivu na chuki za kijinga utaliona hili.Kikwete ameondoka ameacha bunge lina wapinzani ambao hawajawahi kuwa wengi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini.

Sasa kama Samia anaongozwa na Kikwete si ungeona wapinzani wa kutosha bungeni?Hii awamu katika uchaguzi haina utofauti na awamu ya tano.Chunguza utaona.Kwa kikwete matukio ya utekaji yalikuwa adim sana.Na ikionekana imefanyika uuaji basi aliunda tume kuchunguza,na wahusika wali hukuliwa hatua.Mfano mwandishi Daudi Mwangosi aliawa na polisi.Uchunguzj ulifanyika,muhusika akakili mbele ya mahakama,akahukumiwa.Ule utawala ulitawaliwa na tume za maridhiano katika Kila jambo kubwa la kutikisa nchi lililotokea.Sasa kama Samia anaongozwa na Kikwete lazima tungeona tume zikiundwa.Kwo hilo sio kweli.Yako mengi ila hayo ni kwa uchache tu.

*Mwisho-Raisi Samia kwa ninavyomdhani ni mtu mwenye huruma sana zaidi ya JK wa pili,labda Kwa kuwa ni mwanamke.Mfano;Jk aliwaweka ndani wale mashehe wa uamsho,jpm hakuwazingatia kabisa,lkn Samia amewaachia.Wengine watasema Kwa kuwa waislam wenzake,kwani aliyewaweka ndani si alikuwa muislam mwenzao?Hiyo ni huruma tu aliyo nayo.

Najua mtaniita chawa,hilo halina shida,ila Imani hainiruhusu kuwa chawa wa kisiasa,Mimi ni chawa wa Yesu tu.Huyu raisi ni mzuri sana huyu.Ukikosea,ukakubali kuwa umekosea,ukamuomba radhi kwa dhati,hata kama ulifanya kosa kubwa kiasi gani,ana moyo mwepesi saanaaa wa kusamehe.Ukimwendea inbox ukamweleza shida yako,ni mwenye huruma saaanaaa.Halafu,hapendi kufanya jambo la kutoa msaada kwa kujionesha..Hii ni Siri nawaibia.Tukimtumia vzr,ni fursa ya kupata katiba mpya,tume huru,maendeleo,na mambo mengine mengi yenye tija kwa taifa.
NA
Raisi huteua wajumbe wote wa tume ya uchaguzi halafu Raisi huyo anagombea uraisi tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na Raisi yamtangaza Raisi kuwa mshindi wa uraisi......
 
Machoko wanaongezeka kwa kasi.

Mnakubali kuna tatizo ila mnaleta usenge wa lilianza awamu gani, acheni ufala raia wamewachoka. Mna uwezo mdogo wa kuongoza.
 
Kila kitu kina limit yake, ama threshold level yake, ama mwisho wake wa uvumilivu. Huko nyuma haya yote yalikuwa hayajafika, sasa yamefikiwa wakati Samia yuko ikulu.

Huko
 
IMG_20251202_183322.jpg
IMG_20251203_181938.jpg

Hoja ni mbona kwa magufuli hamkufanya jaribio la kumpindua, ila kwa samia ndo mfanye?
Baada ya uchaguzi wa 2020 kulikuwa na wito wa kuingia barabarani, ila ujasiri ilikuwa bado, na mbegu hii ya maandamano ilipandwa rasmi chini ya utawala wa dhalimu magu. Hili jishangazi limeiga tembo kunya, ndio maana limepasuka msamba.
 
Kama Watanzania wangeandamana kutaka kumtoa JPM ningeunga mkono maandamano.
Ila kutaka kumtoa Samia ni kukataa majibu ya Mungu
Ungeanzisha ww maandamano, ulitaka nani aanzishe kisha ww kufuata. Samia aliiga tabia chafu ya magufuli, sasa amepasuka msamba kwa kuiga tembo kunya. Na ajue miaka hii mitano aliyoua watu ili akae madarakani itakiwa migumu sana kwake binafsi na chama chake. Ni ama zake, ama zetu. Yaani ni suala la sisi kupata silaha tu ili tuheshimiane.
 
*Habari wana great thinker;

Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu zifuatazo;Ufisadi,maisha ya kifahari ya watoto wao,utekaji,katiba mpya,uchaguzi huru na wa haki,kwamba anaongozwa na kikwete sio akili yake,n.k.Tena hili la kuongozwa na kikwete ndo kubwa kiasi ambacho watu humchukia sana kikwete na kumuombea mabaya(MUNGU amlinde).Tuchambue baadhi;

*Utekaji:Huu muasisi ni jpm,hilo halina ubishi,labda kama mtu ana agenda yake binafsi.Sasa kwa nini hawakutaka kumtoa jpm wakati ule?Najua hapa wanazi wa jpm watampaka mafuta mpendwa wao ila ukweli utabaki pale pale.

*Uchaguzi huru-uchaguzi kwa mara ya kwanza kuwa wa hovyo nchini ulifanyika 2020 chini ya jpm.Yeye ndiye muasisi wa uchafuzi ktk uchaguzi.Kwa nini watu hawaongelei hilo?Kwa nini ukigusia hili tu watu wanatamani wakurukie?Hii sio sawa.Kama ni madai ya kisiasa,chambua kwa kuzingatia usawa sio ukanda au u-mfumo dume au uzanzibar na utanganyika.

*Uhuru wa kitoa maoni-Ukiwa mkweli utanikubalia.Kuminywa kwa uhuru wa kujieleza muasisi ni jpm.Ukibisha itabidi uniambie,Lisu alipigwa risasi ktk awamu ili na kwa nini alipigwa risasi,Ben saanane alipotezwa na awamu ya nani na kwa kosa gani,kina Azory Gwanda,miili iliyokuwa ikiokotwa ufukweni Kila asubuhi,n.k.

*Maisha ya kifahari ya watoto wao-Mzee,mimi mwalimu,maisha ya watoto wangu hayawezi kufanana na ya mkulima mdogo.Lazima watoto wangu watakuwa na maisha classic kidogo kuliko watoto wa wale ambao kutoka kwao ndo kula yao.Nani anaujua mshahara wa raisi?Yeye ni mtumishi wa uma kama nilivyo mimi.Nikiamua mshahara wangu nimpe mmoja wa watoto wangu atanue,ni haki yangu.Kwa nini unipangie matumizi ya mshahara wangu!Mwingine anahoji Riz kuwa na sheli!Amekanusha.Kama amekanusha maana yake sio kweli.

Lakini hata kama atataka kuanzisha sheli,hashindwi.Kwa kutumia mishahara na posho zake tu,anaweza.Hapo mbali na za baba yake na mama yake.Au unadhani yeye hana haki ya kuanzisha biashara hapa nchini?Au unadhani wewe ndiye mwenye haki ya kuwa na biashara hapa nchini?Yeye sio mtanzania?Kwa nini ukiona biashara ya kiongozi au mtoto wa kiongozi inakukera?Hana ruhusa ya kutumia mshahara wake kuufanyia biashara?Kama WALIMU,manesi,maaskari,n.k wanakopa bank na kuanzisha biashara,yeye waziri,raisi,n.k wasikope kuanzisha biashara?Kwo tuache wivu wa kijinga.Tupiganie mambo ya msingi.

*Anaongozwa na Kikwete -Hili mi nalikataa kwa ushahudi kabisa.Labda kama mmesahau utawala wa awamu ya nne ulikuwaje.Tanzania tuna tatizo kidogo la democrasia.Lakini katika awamu zote,awamu ambayo ilijitahidi kuliko zote katika kudumisha misingi ya utawala bora basi ni ya nne chini ya Kikwete.Ukiondoa wivu na chuki za kijinga utaliona hili.Kikwete ameondoka ameacha bunge lina wapinzani ambao hawajawahi kuwa wengi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini.

Sasa kama Samia anaongozwa na Kikwete si ungeona wapinzani wa kutosha bungeni?Hii awamu katika uchaguzi haina utofauti na awamu ya tano.Chunguza utaona.Kwa kikwete matukio ya utekaji yalikuwa adim sana.Na ikionekana imefanyika uuaji basi aliunda tume kuchunguza,na wahusika wali hukuliwa hatua.Mfano mwandishi Daudi Mwangosi aliawa na polisi.Uchunguzj ulifanyika,muhusika akakili mbele ya mahakama,akahukumiwa.Ule utawala ulitawaliwa na tume za maridhiano katika Kila jambo kubwa la kutikisa nchi lililotokea.Sasa kama Samia anaongozwa na Kikwete lazima tungeona tume zikiundwa.Kwo hilo sio kweli.Yako mengi ila hayo ni kwa uchache tu.

*Mwisho-Raisi Samia kwa ninavyomdhani ni mtu mwenye huruma sana zaidi ya JK wa pili,labda Kwa kuwa ni mwanamke.Mfano;Jk aliwaweka ndani wale mashehe wa uamsho,jpm hakuwazingatia kabisa,lkn Samia amewaachia.Wengine watasema Kwa kuwa waislam wenzake,kwani aliyewaweka ndani si alikuwa muislam mwenzao?Hiyo ni huruma tu aliyo nayo.

Najua mtaniita chawa,hilo halina shida,ila Imani hainiruhusu kuwa chawa wa kisiasa,Mimi ni chawa wa Yesu tu.Huyu raisi ni mzuri sana huyu.Ukikosea,ukakubali kuwa umekosea,ukamuomba radhi kwa dhati,hata kama ulifanya kosa kubwa kiasi gani,ana moyo mwepesi saanaaa wa kusamehe.Ukimwendea inbox ukamweleza shida yako,ni mwenye huruma saaanaaa.Halafu,hapendi kufanya jambo la kutoa msaada kwa kujionesha..Hii ni Siri nawaibia.Tukimtumia vzr,ni fursa ya kupata katiba mpya,tume huru,maendeleo,na mambo mengine mengi yenye tija kwa taifa.
NA
Nyankarungu2020 igunduge huu ndio ukweli kuhusu dhalimu magu, japo ni ukweli ulioletwa na chawa wa muuaji Samia.
 
Umeongea ukweli kabisa, ambao watu wengi wanaujua ila wanajizima akili. Kwa kuongezea kidogo hata haya mambo ya uchawa kusifu yalianza chini ya Utawala wa JPM. Sasa unapopanda mbegu, tegemea mbegu kumea na kukua na haya ndiyo matokeo yake
 
Back
Top Bottom